Waziri wa Ujenzi wa Tanzania Innocent Bashungwa ametoa ushauri wa Mamlaka husika kuruhusu barabara zinazotumiwa na Mabasi ya ‘Mwendokasi’ ziwe zinatumika na magari binafsi hususani wakati wa asubuhi kwenye kuwahi kazini na jioni wakati wa kurudi nyumbani na kusema hiyo itapunguza foleni hasa...
Nimetembea baadhi ya nchi za ulaya, njia za mwendokasi zinatumika kuzalisha umeme wa upepo kutikana na upepo unao zalizwa na mabasi yanapo pita..
NI njia rahisi sana ya kuongeza umeme kwenye grid ya taifa.. ukiweka barabara zote za mwendo kasi hatuwezi kosa MW 50. Naomba kuwasilisha wazo...
Ongezeko la uvamizi wa magari binafsi kwenye barabara za Mwendo Kasi (BRT): Je, Mamlaka zinabariki matumizi haya?
Katika miaka ya hivi karibuni, mfumo wa Mabasi ya Mwendo Kasi (BRT) umekuwa suluhisho la kipekee la kupunguza msongamano wa magari mijini na kuboresha huduma za usafiri kwa wakazi...
Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri.
Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo.
Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi.
Nimeingia kituo cha City Council...
Naanza kuamini kwamba mwendokasi ulikuwa uongo mwingine wa wanasiasa, kwamba wanataka kuondoa kero za usafiri jijini kwa ajili ya wananchi. Hizi barabara zilitengenezwa kwa ajili yao kukwepa bugudha za barabara za kawaida.
Nimeona kwamba barabara za mwekasi zinatumiwa zaidi na magari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.