Kwa muda mrefu, jina la Baraka Mpenja limekuwa sawa na simulizi ya soka la Tanzania. Sauti yake ilibeba hisia za mechi, ikiwasha ari ya mashabiki na kuwafanya wahisi kila mpira uliopigwa uwanjani. Lakini sasa, upepo umebadilika, SAUTI YA RADI kuelekea kwenye sanaa ya uigizaji.
Ni mabadiliko...
Kwa Umri Alonao Mpenja ni Dhambi Kubwa Sana Kuwaongopea Watoto wa Mama Kizimkazi Kwamba Sio Simba & Yanga ni Dhambi Kubwa Kama Kuzini Mchana wa Ramadan....!!
Hadithi ya Mpenja Kuwa ni Shabiki Ndakindaki wa Simba Niliambiwa na Jamaa Angu Geof Lea Ambae ni Mwanahabari wa Kituo cha EFM na Pia Yeye...
Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kimemtunuku mtangazaji wa kandanda wa AzamMedia, Baraka Mpenja 'Sauti ya Radi' ikiwa ni ithibati ya kutambua na kuthamini mchango wake wa kipekee anaoutoa katika maendeleo na ustawi wa lugha na utamaduni wa Kiswahili duniani.
Mpenja ametunukiwa cheti...
Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili.
Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi"...