baraka shamte

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Baraka Shamte aliyefukuzwa CCM mbona sio Mwarabu kama baba yake Mohamed Shamte?

    Baraka Shamte ambaye ni mtoto wa Mohamed Shamte, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kabla ya kupinduliwa Huyu mtu nilikuwa simjui hadi nilipomuona kwenye video kuhusu sekeseke lake na CCM hivi majuzi Kilichonisukuma kuanzisha uzi ni kuwa mbona huyu mtu ni Mwafrika wala hata sio chotara (mixed)...
  2. Mohamed Said

    Sakata la Baraka Shamte: Hatari ya kusema yasiyotakiwa kusemwa

    SAKATA LA BARAKA SHAMTE: HATARI YA KUSEMA YASIYOTAKIWA KUSEMWA Katika kila jamii kunakuwa na ''mwiko,'' yaani kitu kisichotakiwa kufanywa na kwa kawaida huwa watoto wanafunzwa toka udogoni. Katika jamii nyingi watoto wa kiume hufunzwa kutofungua mifuko ya wanawake uwe mama au dada zao...
  3. Mohamed Said

    Baadhi ya mambo usiyoyajua kuhusu Baraka Shamte

    BARAKA SHAMTE... Lugha ya Kiingereza inakuwa kila siku kwa kuja na maneno ambayo mimi sikupata kuyajua hapa zamani. Siku hizi kuna neno ''trend.'' ambalo nadhani lina maana, ''lililopo sasa.'' Habari inayo-''trend,'' mitandanoni hivi sasa ni Baraka Shamte. Baraka Shamte haitaji kuelezwa si...
  4. Erythrocyte

    Baraka Shamte aliyemkosoa Rais wa Zanzibar, ajeruhiwa, akufukuzwa uanachama CCM

    Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia usiku huu, inadaiwa kwamba mtu huyu mzalendo, aliyetekwa na kunusurika kuuawa na Janjawidi pamoja na Mazombie, ambao ni watekaji maalum wa Zanzibar (Tanganyika wanaitwa wasiojulikana), hata baada ya kuokotwa na Majeraha makubwa bado ametimuliwa ndani ya CCM...
Back
Top Bottom