barani afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Karakana ya Luban yachochea moyo wa uvumbuzi kwa vijana barani Afrika

    Katika miaka ya karibuni, China na Afrika zimehimiza ushirikiano wao katika sekta mbalimbali kwa njia ya kiuvumbuzi, mfano ukiwa ni karakana ya Luban, ambayo imekuwa alama ya ushirikiano kati ya pande hizo mbili katika mafunzo ya ufundi stadi. Karakana ya Luban ni sehemu ya ushirikiano kati ya...
  2. L

    Kwa nini Pendekezo la Ustaarabu Duniani limepongezwa sana barani Afrika?

    Tarehe 15, Machi, wikiendi hii, Pendekezo la Ustaarabu Duniani litatimiza miaka miwili tangu lilipotolewa na rais wa China Xi Jinping. Katika kipindi hicho, kutokana na kanuni zake za kusisitiza uwazi na ujumuishi, usawa na kufunzana, Pendekezo hilo limetoa hekima ya China katika kukabiliana na...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Mkutano wa Kahawa Barani Afrika Februari 21–22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam

    Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huu unaongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkutano una lengo...
  4. GENTAMYCINE

    Mkijijua kuwa Mmeoa Watoto wa Wakubwa (Viongozi) Barani Afrika kuweni makini mno kwani mkikengeuka tu Mnatumbuliwa na Kukomolewa

    Ninaomba kujua ni Vivutio gani vikubwa na vizuri naweza kuvikuta Rufiji kwani GENTAMYCINE nataka kwenda Kutalii huko.
  5. I

    Wanufaika 5 wakubwa wa misaada ya USAID barani Afrika.

    Ethiopia ndiyo mnufaika mkubwa zaidi wa USAID barani Afrika, ikipokea msaada wa dola bilioni 1.20. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inafuatilia kwa karibu kiasi hicho cha dola bilioni 1.20. Kuangaziwa kwa misaada ya nje ya Marekani kumeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, huku nchi hiyo...
  6. Mshana Jr

    Rekodi mpya: Majeshi 15 makubwa zaidi barani Afrika 2025

    Je! Unajua kuwa Misri ni moja ya majeshi 15 yenye nguvu zaidi ulimwenguni? Jeshi la Misri ni kubwa Mara 3-4 kuliko jeshi la Afrika Kusini 🇿🇦. 1. Misri 🇪🇬 2. Algeria 🇩🇿 3. Nigeria 🇳🇬 4. Afrika Kusini 🇿🇦 5. Ethiopia 🇪🇹 6. Angola 🇦🇴 7. Moroko 🇲🇦 8. DR Congo 🇨🇩 9. Sudan 🇸🇩 10. Libya 🇱🇾 11.Tunisia...
  7. L

    Rais Samia Gumzo Barani Afrika. Awa Kama chemchemi ya Maji Isiyokauka Midomoni Mwa Watu

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kushindana na yeyote yule na ukafanikiwa kushinda vita yako. Lakini kamwe huwezi kushindana na mtu ambaye anapiganiwa,kutetewa na kulindwa na Mungu. Huwezi kushindana na mtu mwenye kibali na aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe. Huwezi kushindana na Mtu aliye na Mungu...
  8. L

    Si rahisi kwa Marekani kujijengea jina kwa kujiingiza kwenye ushindani na China kwenye ujenzi wa miundombinu barani Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni Marekani imekuwa ikitekeleza kile inachokiita kurudi Afrika, sera ambayo hapo awali ilitajwa kuwa ni kurekebisha makosa ya kisera na kutambua umuhimu wa kimkakati wa bara la Afrika, sio tu kwa siasa za ndani za Marekani, bali pia kwa uchumi wa Marekani na nafasi...
  9. Waufukweni

    Tanzania ya Tatu kwa kuagiza nguo za Mitumba barani Afrika

    Wakuu Tanzania inashika nafasi ya tatu katika orodha ya nchi waagizaji wakubwa wa nguo za mitumba barani Afrika, ikiwa na thamani ya $148 milioni kwa ripoti ya mwaka 2022. Biashara hii imeendelea kukua kutokana na mahitaji ya nguo nafuu na ubora wa bidhaa zinazozalishwa kutoka nje. Kenya...
  10. L

    Uwekezaji wa moja kwa moja wa China barani Afrika umekuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo barani Afrika

    Uwekezaji wa moja kwa moja kutoka China barani Afrika, umekuwa ni sehemu ya mtindo mpya ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, ambao tangu mwaka 2000 umekuwa ukiongezeka kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 25 kwa mwaka, na kupungua kiasi kutokana na changamoto za janga la...
  11. H

    Jinsi Akili Bandia Inavyoweza Kuchochea maendeleo ya Kasi Barani Afrika

    Fikiria ulimwengu ambao mkulima nchini Tanzania au Uganda anabashiri wakati mwafaka wa kupanda mazao yake, mwanafunzi nchini Kenya anapata elimu bora kupitia simu yake, na hospitali nchini Nigeria au Rwanda zinagundua wagonjwa haraka na kwa usahihi zaidi, yote haya shukrani kwa akili bandia...
  12. Waufukweni

    Mchungaji Msigwa: CCM inaongoza kwa utekelezaji wa Ilani barani Afrika

    Wakuu Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini chama hicho na kukichagua mara zote. Msigwa amezungumza hayo akizungumza na wahabari Disemba 09, 2024.
  13. Dogoli kinyamkela

    Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama

    Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama, zao ambalo ni asilia kwa hali ya joto ya Afrika. Tuliiacha kwa ajili ya ugali wa mahindi ambao wakoloni waliitumia kulisha mifugo. 😩😩😩
  14. L

    Biden ahangaika kutimiza ahadi yake ya kufanya ziara barani Afrika kabla ya kuondoka madarakani

    Rais Joe Biden wa Marekani wiki hii alifanya ziara ya siku tatu nchini Angola, akihangaika kutimiza ahadi ya “kufanya ziara barani Afrika ndani ya muhula wake” kabla ya kuondoka madarakani muda mfupi baadaye, jambo ambalo linawafanya watu watilie shaka juu ya udhati wake. Katika kipindi cha...
  15. Pfizer

    Tanzania kupitia TASAC imeteuliwa kuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa 7 wa Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri Majini Barani Afrika

    TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA SABA WA (7) WA JUMUIYA YA MAMLAKA ZA USIMAMIZI WA USAFIRI MAJINI AFRIKA Dodoma. Wizara ya Uchukuzi inautaarifu umma na wadau wa sekta ya usafiri majini kuwa Tanzania kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeteuliwa kuwa nchi mwenyeji wa...
  16. GENTAMYCINE

    Najitolea bure kwa Idara za Usalama wa Taifa zote Barani Afrika katika Kuwatafutia Watu mahiri wa kufanya Kazi huko kwani hata Israel wameshanitumia

    Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa... 1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu 2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu 3. Awe na uwezo wa...
  17. L

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Aimiminia Sifa Na Pongezi Tanzania kwa Kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani...
  18. W

    Dangote arejea nafasi ya mtu tajiri zaidi barani Afrika

    Mfanyabiashara tajiri kutoka Nigeria, Aliko Dangote (66), amerejea kushika nafasi ya kwanza kama mtu tajiri zaidi barani Afrika, kwa mujibu wa Orodha ya Mabilionea ya Bloomberg ya tarehe 7 Septemba 2024, akiwa na utajiri wa thamani ya Tsh trilioni 36.4. Wiki kadhaa zilizopita, Rupert alikuwa...
  19. Roving Journalist

    Rais Samia ahutubia Mkutano wa China na FOCAC, azungumzia Mipango ya China kuwekeza Dola Bilioni 50 Barani Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024. Rais Samia...
  20. Yoyo Zhou

    Kwanini vijana wa Afrika waichukulia China kama nchi yenye ushawishi chanya zaidi barani Afrika?

    Jopo la washauri bingwa la Afrika Kusini Ichikowitz Family Foundation hivi karibuni imetoa “Ripoti ya Uchunguzi wa Vijana wa Afrika (mwaka 2024)”, ambayo liliwahoji zaidi ya vijana 5,600 wenye umri wa miaka 18 hadi 24 katika nchi 16 za Afrika, ikiwa ni pamoja na Afrika Kusini, Ethiopia, Kenya na...
Back
Top Bottom