Baraza la Kiswahili la Taifa (National Swahili Council, abbreviated as BAKITA) is a Tanzanian institution responsible with regulating and promoting the Kiswahili language.
Akiwa nchini Cuba Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza dhamira yake ya kuunganisha lugha ya Kiswahili na lugha ya Kihispaniola ambayo ni lugha ya pili kwa kuzungumzwa na watu wengi duniani baada ya lugha ya kiingereza
Lengo likiwa ni kuwaleta watu wengi pamoja, kuimarisha ushirikiano wa...
Nimekua nikipata tabu sana kujua maana ya maneno mengi ya kiswahili na nikisearch google siyapati napata mitandao ya nje kama wikipedia wakitafsiri ambayo mara nyingi siwaamini kulingana na aina na ufasaha wanaoandika.
Kwanini Baraza la kiswahili mnashindwa kuweka KAMUSI YA KISWAHILI ONLINE...