baraza la maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Majibu ya Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka mbele ya Baraza la Maadili

    Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka alisomewa mshtaka manne katika Baraza la Maadili kutokana na malalamiko manne ya kukiuka maadili ya Viongozi wa Umma ambapo ameyakana yote Kikao cha Baraza la Maadili liliketi chini ya Mwenyekiti wa Baraza, Jaji Mstaafu Rose...
  2. Roving Journalist

    Prof. Eliamini Sedoyeka asomewa tuhuma nne kwenye Baraza la Maadili, azikana zote

    Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imemfikisha mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma Mkuu wa chuo cha Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamin Sedoyeka kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kumpandisha cheo Afisa Rasilimaliwatu II kuwa Mkuu wa sehemu ya Rasilimaliwatu bila kuwa...
  3. BARD AI

    Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika na Diwani wa Cheyo kufikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma

    Sektretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inatarajia kumfikisha mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo M. Buswelu kwa tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Pia, Sekretarieti hiyo itamfikisha mbele ya Baraza hilo, Yusuph H...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia: Nitaendelea kuteua Majaji Wanawake maana ni wazuri zaidi na wanaogopa Dhambi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji 6 na Mwenyekiti wa Baraza la Maadili leo Mei 23, 2023, Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Walioapishwa ni; A. Majaji Mhe. Jaji Zainab Goronya Muruke, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mhe. Jaji Leila Edith Mgonya...
  5. benzemah

    Uteuzi: Rais Samia amemtua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, ambapo amemteua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo kuanzia tarehe 24 Aprili, 2023. Jaji Mstaafu Teemba anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Ibrahim Mipawa...
  6. The Sheriff

    Mkurugenzi PSSSF afikishwa mbele ya Baraza la Maadili

    Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA katika Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Gilbert William Chawe tarehe 16 Septemba, 2022 alifikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili ikiwa ni pamoja nakukopa kiasi...
Back
Top Bottom