baraza la maaskofu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Baraza la Maaskofu Wakatoliki Kenya lakemea vikali Serikali ya Rais Ruto kwa kuendekeza tabia ya kusema Uongo na kunyamazisha wapinzani

    Baraza la maaskofu Wakatoliki Kenya kwa kauli moja wamemkemea vikali sana Ruto kwa kile wanachosema ni Utamaduni wa kusema uongo, kunyamazisha wakosoaji, utekaji, kodi zilizopitiliza na ukiukwaji haki nchini humo. === A Catholic bishops’ lobby has accused the government of President William...
  2. Nandagala One

    Baraza la Maaskofu TEC linapobariki pesa chafu za CCM

    MOja kwa moja kwenye mada,siku za karibuni kumekuwa na zoezi la serikali kutoa pesa kuchangia makanisa. Makanisa mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume, ambalo makanisa yake yamepokea pesa za serikali ya CCM. Nataka kuchukua mfano Jimbo la Zanzibar hasa ambalo limepokea...
  3. Beira Boy

    Katibu wa Baraza la maaskofu katoliki TEC aligoma kuwapa wanasiasa mike tundulisu, mnyika na chimbi kwanini mwamposa alimpa mike makonda

    Amani iwe nanyi wana wa MUNGU Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni...
  4. M

    Hati ya Makubaliano kati ya Serikali na Baraza la Wakristo na Baraza la Maaskofu Tanzania imepitwa na wakati?

    1. Hivi sasa kuna bodi ya Mikopo ya elimu ya Juu kila mtanzania anapata mkopo ili aweze kusoma. 2. Vyuo vikuu kama UDOM, SUA na vyengine vimeengeza vituvo, curriculum imebadilika, Teknolojia imepanuka. 3. Serekali imeanzisha zahanati, hospital na Maabara kila sehemu nchini kwa lengo la...
Back
Top Bottom