Baraza la Madiwani la halmashauri ya wilaya ya Ludewa sambamba na kamati ya Ushauri wilaya limepitisha azimio la kugawa Jimbo la Ludewa na kuwa majimbo mawili ya uchaguzi ili kuweza kusogeza huduma kwa wananchi kwa urahisi zaidi.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya mnamo Februari 2,2025 Tume Huru ya...
Wakuu,
Naona lile wazo la Mbunge wa Kilindi alilolitoa mwaka 2021 kwamba Jimbo la Kilindi ligawanywe mara mbili limeanza kufanyiwa kazi.
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Kilindi mkoani Tanga lilipitisha mapendekezo ya kugawa jimbo la Kilindi kutoka jimbo moja lililopo kwa sasa na...
Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) taifa Sigrada Mligo amewataka watanzania kufanya mabadiliko kwa kuchagua madiwani toka vyama vya siasa tofauti tofauti ili waweze kunufaika na rasimali zilizopo kwa kuwa nchi ina mali ikiwemo madini ya kutosha...
Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Kibaha mji limetoa tamko na kuazimia rasmi kwa pamoja kumpongeza Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuweza kuridhia maombi na kuweza kuipandisha hadhi Halmashauri hiyo kuwa Manispaa pamoja kuteuliwa na mkutano mkuu maalumu kuwa mgombea wa...
Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi.
Amesema kuwa Watumishi hao...
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, limembebesha mzigo mzito Mkuu mpya wa Wilaya hiyo wakimtaka kufuatilia sababu za kukwama kwa ujenzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Chato, tangu kutokea kifo cha Hayati Rais Dk. John Magufuli.
Kauli hiyo imetolewa na...
BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mkoani Geita, limewafuta kazi watumishi 3 wa Halmashauri hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Kiutumishi .
Akitoa Taarifa hiyo katika kikao Maalumu kilichoketi mara baada ya kukamilika kwa Baraza la Madiwani, Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni...
.Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, ingawa tarehe inaweza kubadilika kulingana na ratiba rasmi itakayotolewa na mamlaka husika.
(b) Mwaka...
Kwenye sakata la Bandari tumegundua kumbe Dubai sio nchi na haina hadhi ya kuridhia mikataba ya kinchi, hivyo kilikuwa ni kimbelembele cha kijinga cha bunge la Tanzania kuingia kichwa kichwa na kuridhia ule mkataba wa kifedhuli.
Sasa wataalamu wetu wanasema lile deal la makubaliano ya...
Sakata la Mkurugenzi Jiji la Arusha, Halmashauri inapaswa kuvunjwa
Jana Mbunge wa Michongo wa Arusha mjini alisikika akilalamika mbele ya Waziri Mkuu kuhusu tuhuma kadhaa ambazo zinamkabili Mkurugenzi wa Jiji!
Mosi huyu Mbunge akumbuke kuwa hana uadilifu wa kukemea ufisadi wa aina yoyote maana...
Moja kwa moja kwenye mada.
Katika Hali ya kushangaza, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara walikutana usiku kupanga njama za kumteka Mwenyeki wa Halmashauri yao.
Kiini cha mgogoro ni kutokana na kutokubaliana sehemu ambapo panatakiwa kujengwa Kituo cha Afya.
Hatua hiyo...
Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Singida lenye majimbo ya Singida Mashariki na Singida Magharibi na kata 26 lililohudhuriwa na DC Jerry Muro limeketi kwa mafanikio
Baraza hili limepitisha "Azimio Maalumu " la kumpongeza Rais Samia baada ya kupokea Bilioni 2.6 za kujenga...
Baraza la madiwani halmashauri ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro limemfukuza kazi mtumishi wa idara ya afya katika hospitali ya wilaya ya Same na kutoa onyo kali kwa wengine wawili na kuwakata asilimia 15 ya mishahara yao kila mmoja kwa muda wa miaka mitatu.
Hayo yamejiri leo Alhamisi...
Suala la kuadimika kwa mipira ya kiume(kondomu) limezua mjadala mkali kwenye Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, ambapo madiwani hao wamedai linakwamisha mapambano dhidi ya UKIMWI na kudai kuwa mipira hiyo haipatikani kwenye nyumba za wageni na maeneo ya starehe.