Bwana Ruto katikiswa kwelikweli na hawa vijana waliotishia kumwangusha kijumla.
Licha ya kufuta bajeti na kuahidi kushughulikia mengine yaliyotajwa na hawa vijana, hali bado inaonyesha kuwa tete.
Hizi juhudi anazofanya sasa, ikiwa ni pamoja na kuwafuta kazi mawaziri wake wote, kasoro mmoja tu...