Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli.
Unadhani ni wizara gani imepwaya anayopewa Makamba? Je, alipopewa Wizara anaweza kupewa nafasi ndani ya...
Sisi wachimbaji wadogo kutokea mkoani Tanga wilaya ya Tanga kata ya Kiomoni mtaa wa Kiomoni, tunamuomba mheshimiwa raisi awaamrishe makamishna wa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro waweze kutulipa fidia zetu, tumekua tukidai fidia zetu miaka na miaka kutokea mwaka 2021, tunasomesha watoto katika...
barazalamawaziritanzania
ccm
hifadhi ya eneo la ngorongoro
jamhuri
jamhuri ya muungano
mfundo
mheshimiwa
muungano
ombi
raisi
samia
tanzania
wachimbaji
wachimbaji wadogo
wadogo
Mawaziri wengi wa Tanzania wana uwezi mdogo sana wa kufanya kazi, Ila wanabebwa kwa sababu za kisiasa tu.
Kule Kenya, Ruto kavunja Balaza la Mawaziri na anatarajia kutangaza Baraza jipya siku chache zijazo. Haya ni maamuzi Magumu sana ambayo kwa nchi ya kubembelezana kama Tanzania huwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.