baraza la usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa laitaka Rwanda kuondoa majeshi haraka nchini Congo

    Baada ya Viongozi wa Africa kufanya vikao vyao vya kunywa kahawa Dar es Salaam na Zimbabwe huku wakipiga picha kwa mbwembwe bila kuupatia suluhisho la kudumu Mgogoro wa Congo naona wazungu wameamua kuwaonesha Waafrika kwa nini wanawaitaga Nyani. Baada ya jana Wizara ya Fedha ya Marekani...
  2. Hali ya usalama Mashariki mwa DRC

    Baraza la Usalama la UN limekutana kwa mkutano wake wa dharura leo, Jumapili, Januari 26, 2025 Hapo awali mkutano huo ulipangwa kufanyika kesho Jumatatu, Januari 27, mkutano huo wa dharura sasa unafanyika leo, Jumapili, Januari 26, 2025; Kwa sababu ya kuongeza mapigano kati ya #FARDC na kikundi...
  3. Baraza la Usalama la Israel: Tutalipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni kwa kosa la kushambulia makazi ya Netanyahu

    Channel 13 ya Israeli jioni hii inaripoti kuwa Baraza la Usalama la Israel limefanya uamuzi wa kuanzisha Hatua nyingine ya Kulipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni. Hii ni kutokana na Jukumu lao katika Mashambulizi ya hivi karibuni ya Hezbollah, ambayo yalilenga Nyumba ya Waziri Mkuu wa...
  4. Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

    Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria. Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945...
  5. Gueteres aliponda baraza la usalama la umoja wa mataifa. Aliambia limeshindwa kazi na limepitwa na wakati.Kigezo ni kushindwa kuzuia vita vya Gaza n,k

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesimama kidete kusimamia maadili ya baraza hilo kwa kukosoa jinsi linavyoshindwa kutekeleza majukumu yake. Bwana Gueteres amerudia kwa kusema muunda wa baraza la usalama ambalo lina wajumbe wanaotumia kura ya veto ndio umekuwa kikwazo kwa...
  6. TANZIA MRATIBU Msaidizi Baraza la Usalama wa Taifa, Brigedia Jenerali Vitalis Andrew Chakila amefariki dunia

    MRATIBU Msaidizi Baraza la Usalama wa Taifa, Brigedia Jenerali Vitalis Andrew Chakila amefariki dunia. Taarifa ya kifo chake imetolewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda. Kwa mujibu wa Taarifa iliyosainiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Jeshi la Ulinzi la...
  7. T

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Ipo haja Baraza la Usalama wa Taifa kutafakari

    Taifa letu linaelekea kwenye uchaguzi hapo mwakani. Ni rai yangu kwa bataza la usalama wa Taifa kutafakari kwa kina kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi utakavyokuwa mpaka kupata matokeo. Vipo viashiria ipo haja kwa maamuzi magumu kufanyika pasipo kuangalia sura au jinsia ya mtu au umaarufu wake...
  8. Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Wanaukumbi. Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya azimio la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa Netanyahu amekasirika. Alighairi ujumbe kwa DC kwa sababu Marekani ilijiepusha na azimio la kutaka kusitishwa kwa mapigano. Lakini hajakasirika kiasi kwamba atakataa $3.3B...
  9. N

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa v/s Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ni yapi majukumu yao?

    Mwenye kufahamu utendaji kazi na majukumu yao kati ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Nyongeza ndogo, Je! Kura ya Turufu ni inamaana gani?
  10. M

    Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

    Ndugu wajumbe, Natumia nafasi hii kama raia mtiifu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwaandikieni nyinyi ikiwa ni sehemu ya wajibu wangu wa kiraia na wa kikatiba (1) Mosi kulinda amani ya nchi (2) Pili Kutoa maoni ya kuleta usitawi kwa nchi yangu (3) kutumia haki yangu ya kikatiba kutoa...
  11. Urusi, mataifa ya Magharibi uso kwa uso Baraza la Usalama

    Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilikumbwa na mabishano makali kati ya Urusi inayoshikilia urais wa zamu wa Baraza hilo na mataifa ya Magharibi yanayoilaani kwa uvamizi wake dhidi ya Ukraine. Akiongoza kikao kilichokusudiwa kuwa mdahalo juu ya nafasi ya Baraza Kuu la Usalama la...
  12. Urusi yatwaa urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa licha ya hasira ya Ukraine

    Urusi imechukua kiti cha urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa licha ya Ukraine kuwataka wanachama kuzuia hatua hiyo. Kila baraza la wajumbe 15 huchukua nafasi ya urais kwa mwezi mmoja, kwa utaratibu wa kupokezana. Mara ya mwisho Urusi ilikuwa na nafasi ya urais ilikuwa Februari 2022...
  13. Wakati nchi za EAC zikiunga mkono Azimio la Baraza la Usalama UN kuitaja Urusi kuondoka Ukraine, Tanzania ili-dodge kikao

    Habari Wadau. Wakati Nchi wanachama wa EAC Zikiunga Mkono azimio la Umoja la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuitaka Russia kuondoa Majeshi yake vamizi Nchini Ukraine,Tanzania imekimbia Kikao bila kutokea kwenye upigaji kura. Kuliko Nchi yetu kuendelea kukimbia vikao vya UN mara kutopoga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…