Niwaombe wana Jamii Forum wasaidie kufikisha ujumbe huu kwa kiongozi yoyote wa SSC kama wapo humu.
Madam Barbara : Tatizo la Simba ni moja tu fanyia kazi hili haraka sana,
1: Mpaka muda huu Simba imezidiwa propaganda kwenye Social Media, Redio na TV stations
Simba sasa hivi imekuwa inapewa...