Huu ndo mchanganuo kwa wanaotaka kufanya barbershop kwa mtaji wa miti 20(2M)
👉Utengenezaji wa frame ndani na nje
(unakuta labda furniture tu mule ndani kama miti 5 hivi (5M), tuseme labda (decoration ya jengo Mti NNE(4M) hujanunua madryer labda (2M na vifaa vingine Miti 2(2M),hujaweka bhango...
Kwa nini Barbershop/saluni za sasa mjini wahudumu wanakutazama vibaya sana ukiwaambia hauoshi kichwa au kufanya scrub baada ya kunyoa?
Baadhi ya vinyozi kwenye hizi barbershop wakimaliza kukunyoa wanakutelekezea kabisa wadada waoshaji bila hata kukuuliza kama unaosha au hauoshi unapaka tu after...
Za jioni wakuuu....................................
Anyway weekend iko poa?
Nimekaa hapa nikakumbuka siku ya kwanza nilipoingia barbershop ebwanaaa eeeh ilikuwaa hiviii 👇👇
Niliona saloon nyingi zimefungwa sasa na nilikuwa nataka ninyoe siku hiyohiyo coz kesho ake nilikuwa na safariii...
Nimekuwa na shauku ya kuanzisha barbershop, au saloon ya kiume hata ya kike naipenda nikipata msimamizi maana mimi sijui hayo mambo ila naogopa maana mambo ya kuwindana kama tuko paredi hapana.
Saloon ya kiume kuna jamaa ananiambia ni biashara nzuri kama utapata site na kinyozi mzuri sijawahi...
Bosi mwenye saluni inayoitwa bahari popote ulipo nakufikishia haya malalamiko,
Mimi ni mteja hapo saluni kwako tokea 2017 mpaka Sasa hata nikienda mikoani nikirudi huwa nakuja kupata huduma hapo huduma ni nzuri Ila kero yangu ni kwa baadhi ya vinyozi wako wanaomba Sana hela yaan najikuta...
Katika maisha kila mtu anakuwa na matukio ambayo siyo rahisi kuyasahau hata akumbwe na changamoto ya namna gani.
Leo na mimi nimeamua ku share na nyinyi Wana JF tukio hili ambalo sio la kutisha Bali Ni la kawaida tu Ila naimani linafunzo ndani yake, moja kwa moja tuanze Sasa..
Wakati...
Kwema wazee!
Naomba kujua machache kuhusu biashara ya saloon classic za kiume barbershop.
Mtaji kiasi gani?
Maeneo yapi ya jiji la Dar zinalipa?
Je, mimi ndo nawalipa vinyozi au wao wananipa mimi hesabu?
Ukiwa na scrub na massage unachukua kiasi gani kwa wale wa Dada na kwa vinyozi?
Asante sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.