Wakuu
Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania.
Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa..
Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
Hii baridi linaloendelea mijini na vijijini linafanya mahusiano yawe ya karibu na ya moto sana miongoni mwa wachumba na wanandoa hasa mapumzikoni usikuwengine hadi , walichuniana lakini hali ya hewa inawakutanisha.
Bila shaka yoyote, yapo matokeo yanayotarajiwa na yasiyo tarajiwa yatakayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.