barrick gold

  1. S

    Swala Solution na Barrick Corporation kulikoni? Kampuni ya Twiga iko wapi?

    Kulikoni? Swala Solution, Barrick Gold Corporation na Rostam Aziz huko Kwenye Migodi Yetu? Kwa nini Kuna asili ya watu Fulani wenye asili Fulani ndo wanapewa Nguvu na Barrick Gold Kwenye Migodi?kwa Nini wanatamba kuwa Rostam Aziz hafanywi Chochote na watachukua Kazi zoote za wazawa migodini...
  2. Barrick yasema wahusika wa nje ya Kampuni hiyo ndio wanapaswa kulaumiwa katika madai mapya ya unyanyasaji huko North Mara

    Barrick Gold imesema madai ya Shirika la Haki za Binadamu kufukuza watu kwa lazima ili kupanua mgodi wa North Mara nchini Tanzania hayana ukweli. MiningWatch Canada yenye makao yake makuu Ottawa inasisitiza kuwa maelfu ya Wakurya wa Asili walifukuzwa kutoka kwenye makazi yao Desemba 2022, na...
  3. Barrick Gold Corporation ni lidubwana la kutosha sana

    Wakuu Leo nilikua nachezea chezea simu yangu kidogo nikakumbuka zile medali za Yanga kuwa za Shaba hapo moja kwa moja nikawaza dhahabu tulizojaaliwa NCHINI lakini ndo hivyo tena bila kombe dhahabu hauvai hata ukachovye kwa sonara lakini bado inabaki vile vile. Hali hiyo ilinifanya nizame chimbo...
  4. Mwigulu aongee ukweli, ACACCIA na Barrick wanalipwa mabilioni na serikali kwa kuvunja mkataba

    Trat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements Mwigulu aache kigugumizi aongee ukweli, Huko Trat na Trab kesi za acacia na Barrick zilikuwepo lakini mambo yalienda kombo kwa serikali...
  5. Shaft Rigger at Barrick Gold Corporation

    The role is responsible for set up and repair rigging for the movement of heavy equipment. As an Artisan Rigger you will be required to maintain equipment according to sound engineering practice and equipment specifications, as well as conducting any rigging task as might be required within any...
  6. Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

    Wanabodi, Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
  7. Mkurugenzi wa Barrick Gold adai Makinikia yaliyozuiwa Bandarini Dar yana thamani ya $280 Milioni

    Wakati akiongea na shirika la habari ya Uingereza liitwalo Reuters, Mkurugenzi wa Kampuni ya Barrick Gold, Mark Bristow amesema Makontena ya Makinikia yaliyozuiwa na serikali ya Tanzania Bandarini Dar es Salaam yana thamani ya Dola za Kimarekani milioni 280 ambapo ni sawa na takribani shilingi...
  8. K

    Kwanini siri kubwa kwenye $300m ya Barrick?

    Kwanini wananchi wanasahaulishwa kwa hii ahadi? Hata serikali ilisema tu kwasababu Barrick ilibidi waambie wamiliki wa share zao wazi. Sasa hizi pesa ni siri kwanini? Zinatumika kufanya nini?. Inaelekea zitaenda kwenye chaguzi! Maana haziko kwenye budget yoyote. Mimi nina wasiwasi na huu...
  9. Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi ametangaza leo kuwa Serikali kwa kushirikiana na Barrick Gold Corporation wameunda kampuni ya ubia inayoitwa Twiga Minerals Corporation. Katika kampuni hiyo Serikali ina hisa asilimia 16 na Barrick asilimia 84. ====== Baada ya mgogoro uliodumu...
  10. New Barrick eyes several options to end Tanzania tax dispute: CEO

    The new Barrick Gold Corp is considering options for its stake in Acacia Mining PLC including possible sale, as Barrick works to end a nearly two-year-long tax dispute in Tanzania that has effectively shuttered operations there, Chief Executive Officer Mark Bristow said on Wednesday. The new...
  11. Tanzanians are NOT surprised at the tax fraud in the UK

    By Samantha Cole of Tanzania Business Ethics Almost 1 in 5 of the biggest UK companies paid NOTHING last year and 5 companies even got a handout back from the taxman! We, in Tanzania, already learnt our lessons the hard way with Barrick Gold and Acacia Mining who succeeded for many years to...
  12. Barrick hits headlines again – in Australia – Loses Supreme Court Appeal

    By Samantha Cole of Tanzania Business Ethics Barrick Gold loses their Appeal in the Australia Supreme Court. No surprise that the Judges found Barrick “inappropriate” and “not reliable” in their methods. When will someone be accountable? Last week, in Australia, following THREE lost appeals...
  13. High Court Judge: Acacia Mining playing tactics to defeat justice

    A PUBLIC LETTER TO THE HON. PRESIDENT OF TANZANIA, MINISTER OF JUSTICE, ATTORNEY GENERAL AND OTHERS Hon. President John P. Magufuli, Prof Palamagamba Kabudi and Dr Adelardus Kilangi Copies to: Board members of Barrick Gold & Acacia Mining; Chief Secretary, Amb. JWH Kijazi; Minister of...
  14. Acacia seeks goodwill from villagers in Mara

    Report in The Citizen By Beldina Nyakeke The Acacia North Mara Goldmine acting general manager has called for peace and harmony between the mine and the host community. Currently, the mine is surrounded by a wall that separates the firm from the host community. Acacia mining is advocating for...
  15. Water everywhere, but no water for the residents of Tarime, Tanzania

    An open letter to His Excellency, President John P. Magufuli, President of Tanzania WATER, WATER EVERYWHERE - BUT NO WATER FOR THE RESIDENTS OF TARIME, TANZANIA? In our Holy Bible: Ecclesiastes 1:9 That which has been, is that which will be, And that which has been done, is that which will be...
  16. Can anyone explain why Barrick Gold and Acacia Mining are falling to pieces?

    BARRICK GOLD SHARES July 2016 - around US$ 22.30 August 2018. - around US$ 09.80 ACACIA MINING SHARES August 2016 - around GB£ 600.00 August 2018 - around GB£ 109.00 We are NOT happy about this because it is is in our interests for these companies to be successful...
  17. Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

    Anaandika Lissu: Tofauti kati yangu mimi na wewe na Magufuli ni hii: Mimi nimepigania nchi yangu katika masuala haya tangu mwaka '99. Wakati huo tulikuwa na mgodi mmoja tu wa dhahabu, Resolute Golden Pride Nzega. Bulyanhulu ilikuwa haijajengwa. Geita ndio kwanza walikuwa wanafukuza wanakijiji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…