Wanafunzi wa shule ya sekondari mkoani Lindi na Mtwara wakisoma katika miundo mbinu iliyojengwa kupitia programu hii.
Awamu ya kwanza imefanikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa vya kisasa 374, mabweni 89 na mashimo ya vyoo 569 nchini kote.
Mradi mkubwa wa aina yake wa kusongesha mustakabali...