Viongozi wanaohusika kusimamia watumishi wa UMMA jaribuni kuwatendea haki watumishi wenu, kupata barua ya uhamisho kutoka Wizara ya UTUMISHI imekuwa kero sana.
Taratibu za mtumishi kufuata ili kupata uhamisho zinawekwa na wizara lakini bado barua zinachukua zaidi ya miezi Sita (6) kutoka huko...