Baruani Mshale ambaye ni Mkurugenzi wa Mikakati na Mafunzo kutoka TWAWEZA amesema kitendo cha Watu na hasa Vijana kutoshiriki katika masuala ya Uchaguzi kinasababisha maamuzi yanayofikia kuchaguliwa kwa Viongozi ambao hawawataki.
Amesema "Tuchukulie mfano wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.