basanza kigoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uvinza: Halmashauri yachukua hatua kupitia video iliyosambaa lakini yashangazwa na aliyechukua video ikidai ameleta taharuki

    Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imechukua hatua ya kumpumzisha daktari wa zamu ili kupisha uchunguzi baada video ya Mwanamke anaedaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza kusambaa mtandaoni. Halmashauri baada ya kufatilia...
  2. Kigoma: Mwanamke adaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza

    Wakati wahusika wakikazana kusifia na kugeuka chawa wa viongozi, Hapa ni Jimbo la Kigoma kusini wilaya ya Uvinza kata ya Basanza Mkoani Kigoma katika zahanati ya serikali, huyo ni raia mlipa Kodi akitetea uhai wake pamoja na mwanaye baada ya kujifungua Zahanati bila kupata msaada wowote. Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…