Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz wakati akihojiwa na Kituo cha Redio cha Times FM mwaka 2017 alionyesha kusikitishwa na kitendo cha BASATA kufungia nyimbo zake kwa kisingizio kuwa hazina maadili.
"Mkinifungia nyimbo hainipunguzii kitu. Nyimbo ikiwa imefungiwa naenda nayo nje nitai-perform...