bashiri

Bashiri Johnson (born May 12, 1955) is a New York City-based percussionist, whose work has appeared on many records, as well as in commercials, films, television, videogames, and concert performances. He is known to be one of the most recorded percussionists in the music business, as well as one of the most visible. While he has recorded with such artists as Luther Vandross, Miles Davis, and Patti LaBelle, he has also been a part of numerous on-stage performances; he has performed on stage with artists such as Sting, Michael Jackson, Whitney Houston, Lionel Richie, Aretha Franklin, and Steve Winwood.

View More On Wikipedia.org
  1. Teko Modise

    Bashiri utabiri wako kuelekea Kariakoo Derby

    Tuone kipawa chako cha ubashiri. Kuelekea mchezo wa weekend hii, Yanga Vs Simba, tabiri matokeo yatakuaje. Mimi naanza Yanga 1-3 Simba, Tutakuepo
  2. JanguKamaJangu

    Utakapofanya haya utahesabika kutenda Uhaini

    Uhaini ni kosa la jinai . Ni kosa kati ya makosa makubwa ya jinai. Katika jinai yapo makosa makubwa na yapo makosa madogo. Yumkini udogo na ukubwa wa kosa waweza kupimwa kwa kutizama adhabu ya kosa. Kosa ambalo huadhibiwa kwa adhabu ndogo huwa ni...
  3. Christopher Wallace

    Bashiri matokeo ya mechi ya USM Alger Vs Yanga na ulambe elfu tano

    Weka ubashiri wako na ulambe elfu tano hiyo kesho, mwisho wa ubashiri ni saa 3:59 usiku wa kesho, yaani dakika 1 kabla ya mechi kuanza. Updates: 🚨🚨🚨🚨🚨 Hakuna aliyepatia, elfu tano itakuwepo tena mechi ya fainali ya Azam Sports Federation
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Anayetaka pesa ya bure aweke bashiri hii mechi ya Yanga kesho.

    Yanga itashinda goli 2 kwa bila na ili upate pesa nyingi bashiri kuwa goli zote zitapatikana kipindi cha kwanza. Pesa nje nje, wataalamu wa betting mnisaidie , nikibeti kwa kutabiri yanga itashinda goli 2 kipindi cha kwanza na kuweka elfu 10 itazaa sh.ngapi? Nimeota, na inaenda kuwa kama...
  5. THE FIRST BORN

    Tabiri nani atashinda katika nafasi hizi baada ya ya Kombe la Dunia kuisha hii leo?

    Mwana Jamii Sport ikiwa tunaelekea Mwishoni kabisa Mwa Mashindano Makubwaaa Duniani ambayo yamefanyika pale Qatar kwa Ma-Sheikh upi utaburi wako katika Nafasi hizi? 1. Mfungaji Bora Hadi saa hizi 2. Goli kipa Bora 3. Kinda Bora Wa Mashindano 4. Top Assistman 5. Mchezji Bora wa Mashindano...
Back
Top Bottom