bashungwa

Innocent Lugha Bashungwa (born May 5, 1979) is a Tanzanian Minister of Industry and Trade and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Karagwe in 2015. He was appointed Deputy Minister of Agriculture by President John Magufuli on 10 November 2018. On November 13, 2018, he was sworn in as Deputy Minister.

View More On Wikipedia.org
  1. Sasa ni rasmi, TAMISEMI imemshinda Bashungwa, imebidi Waziri Mkuu aingilie kati, ndio wizara yenye kelele za uozo

    Bashungwa, Waziri kijana, ambaye ilitarajiwa "damu iwe inachemka" awe anapanda na kushuka,anakaba huku na kule, ameonekana Mzee kuliko Waziri Mkuu. Waziri Mkuu anaenda Arusha, anaenda Singida, anajua mambo ambayo alitakiwa Bashungwa awe ameshayajua na kuchukua hatua....hamna kitu. Alikuwa na...
  2. Hivi kuna Waziri anamzidi Bashungwa wa Tamisemi kwa kutoa Matamko ya Maagizo?

    Bila kuchoshana twende kwenye mada.. Haiwezi kupita siku 2 ukaacha kusikia Bashungwa katoa tamko la kuagiza sijui kutoa siku kadhaa na baada ya hapo hakuna utekelezaji.. Mh.Waziri kuna namna nyingine ya kuhakikisha mambo yanafanyika sio Matamko kila siku harafu utekelezaji hakuna.👇
  3. Waziri Bashungwa asema wahitimu wa kidato cha 4 wanaohitaji uhamisho waripoti kwanza kwenye vituo walivyopangiwa

    Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa wanafunzi kubadili kutoka vyuo kuelekea kidato cha tano kwa sababu mbalimbali Bungeni amesema, wahitimu hao wanapaswa kuripoti katika vyuo au shule walizopangwa...
  4. B

    Waziri Bashungwa alipotoshwa au aliona orodha kabla ya kutangaza?

    Kigezo cha umri wa mwombaji na kigezo cha mwaka wa kuhitimu kwenye PDF aloitoa anaona kiko Sawa? 2015 kaachwa na 2021 kachukuliwa. Mathematics kuwa arts subjects? Wale watu wa TAMISEMI huwa wanatuona hamna kitu kichwani? Mnakatisha hamu vijana kusoma makusudi ili watoto wenu waendelea kula...
  5. M

    Bashungwa acha kumdanganya mkuu wa nchi, umeona deamenor yake. Kanda ya ziwa wana kitu moyoni

    Nimekucheki unaongea pumba mbele ya mkuu wa nchi. Wewe ni unajifanya hujui kusema kweli? Kwa nini usikae kimya. Unaona kabisa deamenor ya mkuu wa kaya hapo Bukoba hainyonyeshi kuwa anakubalika kanda ya ziwa alafu unaweka uongo wa kumpamba.
  6. Dar: Walemavu Wamkataa Waziri Bashungwa, wataka atengue tamko la bajaji na bodaboda kufanya kazi mjini kati

    WALEMAVU, BODABODA WAANDAMANA WAKITAKA WAZIRI BASHUNGWA KUTENGUA TAMKO LAKE*. Kufuatia katazo wa Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa kuhusu sakata la bodaboda na bajaji kuingia mjini, Walemavu na Bodaboda wameandamana mpaka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wakishinikiza Waziri...
  7. D

    Mawaziri kumbukeni kutumia hekima mnapokinzana na walio chini yenu vinginevyo mtaua ubunifu

    Kuna watu wanadhania kuwa kiongozi mkubwa basi na akili huwa ni nyingi kuliko wengine! Hii dhana ni mbaya sana kuwamo kichwani mwa yoyote kwasababu Uongozi ni hekima ya kushauriana na waliochini (waliopo site)! Ifahamike kwamba waliochini ni wengi kuliko kiongozi mmoja! Kumekuwepo na tabia...
  8. J

    Waziri Bashungwa amsimamisha Mkurugenzi wa Mvomero Bw Hassan Njama Hassan kwa Ufisadi wa kutisha

  9. A

    Mh. Bashungwa unapongezwa lakini kaa mguu sawa,usibweteke

    Kupitia bunge la 12,wabunge waliowengi wanampongeza waziri wa TAMISEMI Mh. Innocent Bashungwa kwa uwajibikaji na usikivu wake. Wamesema anasikiliza na kufikika kirahisi. Nampa hongera kwahilo. Bashungwa usibweteke maana wapo baadhi ya watumishi ndani ya wizara yako bado ni majipu. Mfano...
  10. Kipimo cha dharau ni kumuweka Bashungwa TAMISEMI na mchapakazi kama Jaffo mazingira

    Hizi ndio dharau walizofikia hawa watu kututawala. Wapo tayari kutoa wasimamizi imara ilimradi wasionakane. Bashungwa TAMISEMI ameonyesha umahiri gani mpaka sasa. Hawa jamaa wanatudharau sana,
  11. N

    Ujumbe wangu kwa Waziri Bashungwa na Rais; Ajira za Tamisemi zimejaa Urasimu na viashiria vya rushwa

    Ajira za Serikali ya awamu ya sita chini ya TAMISEMi zimejaa urasimu wa kutisha, ninapowaambia hapa kuna watu wa kada za uwalimu na Afya wanaendelea kuripoti kwenye vituo vya kazi kimya kimya bila ajira kutangazwa kwa , huu ni ufisadi na mianya ya rushwa bora niongee tu ijulikane. Mimi nina...
  12. Hivi Bashungwa "anatosha" pale TAMISEMI? Pamoja na Rais kutoridhishwa na mambo ya Mkoa wa Mara, bado hajachukua hatua

    Ningekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum. Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI...
  13. Bashungwa, John Paul Wanga hafai kuendelea na ukurugenzi, ukiacha Jimbo la Musukuma, mradi wa viwanja Buwelu East alitapeli,Waziri wa ardhi fuatilia

    John Paul Wanga, ni sehemu ya ukoo wa magufuli, amelalamikiwa sana na Mbunge Musukuma kwa ufisadi katika halmashauri yake, lakini alipokuwa Ilemela, kilikuwa na mradi wa Buswelu East wa viwanja, walitapeli kwamba watapeleka barabara,maji, umeme, vyote havipo, na tunaambiwa Hela nyingi...
  14. Tamisemi ndani ya Bashungwa

    Aisee kama ni kipele kimempata mkunaji, Bachungwa najua kwa uweza wa Mwenyezi Mungu utaimudu, uko serious sana mzee hasa pale unapokabidhiwa jukumu na mkuu wako, ni mtu unayeongozeka mzee baba! Watanzania tumepata dume .....Ila wejamaa sijawahi kukuona unacheka! Mwenye kapicha Bashungwa akicheka...
  15. Hawa wanafaa kuandaliwa kwa ajili ya Urais 2040, siyo dhambi tuwajenge tufaidike

    Moja ya sababu kubwa ya nchi nyingi kutoendelea ni kutoandaa viongozi kwa ajili ya vizazi vijavyo na vijavyo. Leo Mimi countrywide msomi ninatoa maoni yangu kuhusu kuandaa watu Hawa kwa ajili ya uraisi 2040. Ningeweza kusema 2030 lakini naona ni karibu sana kiasi ambacho itakua sio Tena...
  16. Waziri Bashungwa Wimbo wa bia tamu upigwe marufuku. Unahamasisha ulevi na uzembe

    Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho. Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi. Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
  17. N

    Waziri Bashungwa akamatwe kwa kuchezea Fedha za walipa kodi

    Hii nchi tunashindwa tuiweke kundi gani, kundi la masikini au tajiri? hivi huu ufujaji wa hela mnauelewa kweli yaaani stars kushinda mechi moja tu hata bado haijafudhu waziri anatoa hela anagawa kwanini usitoe zako mfukoni, haya mambo ndio yanafanya tuendelee kukwepa kodi na tozo
  18. Waziri (Mwanayanga) Innocent Bashungwa toa kauli ya mwisho ya Serikali je, Dar es Salaam "Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ipo au haipo?

    Katika ile Barua ya Kusimamisha Mchezo (Mechi) ilisema Serikali yako na kupitia Wizara yako ya Michezo ndiyo mliisimamisha. Siku zinakaribia na kuna Timu inasema haitocheza hadi ipewe sababu ya maana ya Kusimamisha ile ya awali. Tafadhali Waziri Bashungwa jitokeze hadharani, toa sababu ya...
  19. Serikali (Waziri Bashungwa) tafadhali toeni tamko lenu la kimamlaka kuhusu ''Uhuni'' unaendelea kufanywa na klabu ya Yanga

    Sasa ni Mwezi unakatika kila ukiamka tu ni lazima ukumbane na Makundi mbalimbali ndani ya Klabu ya Yanga wakisema kuwa hawatocheza Mechi yao na Simba SC iliyopangwa Kufanyika tarehe 3 July, 2021. Kila hawa Wapuuzi na Wahuni (Yanga SC) kupitia Makundi yao Kuanzia Msemaji wao Mshamba ( Mbwiga )...
  20. J

    Waziri hawezi kuahirisha mechi kwa sababu TFF iko chini ya FIFA na siyo wanasiasa, Bashungwa anaonewa bure!

    Ukweli ndio huo. Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa. Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA. Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa. Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…