Habari Tanzania!
Leo naomba nilete mada inayohusu changamoto zinazojitokeza katika Mazao ya Kimkakati yanayolimwa katika mikoa mbalimbali kama vile: Korosho, Chai, Kahawa, Alizeti, Mawese, Karanga, Nazi, Ufuta, Mkonge n.k
Changamoto zinazokumba mazo haya ni za Kimasoko na Kitaasisi, sasa...