Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amehitimisha kwa kishindo Ligi ya mpira wa miguu Kasekenya Cup’ iliyoandaliwa na Mbunge wa Ileje, Eng. Godfrey Kasekenya ambapo timu ya Iyuli kutoka Mlal iliibuka bingwa baada ya kuifunga timu ya Jibanda kutoka Lusisi kwa penati 5 kwa 3 baada ya kutoka sare...