Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wazazi na walezi kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha mtoto wa kike anaelimishwa ili kuleta matokeo chanya kwa jamii na Taifa...