Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Wakala ya Barabara (TANROADS) imekamilisha Usanifu wa Barabara ya Ushirombo - Nyikonga - Katoro na Sasa Serikali ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi wa kuanza ujenzi kwa kiwango cha lami kipande cha Ushirombo hadi Nyikonga (km 22.5), pamoja...