Wakuu mambo vipi?
Kwanza poleni kwa msiba wa kitaifa (janga la Kariakoo).
Ishu yangu iko hivi, kuna ndugu yangu ni mfanyabiashara Dodoma. Kwa hiyo mara nyingi husafiri toka Dodoma-Tunduma na Tunduma- Dodoma kufuata bidhaa.
Anasema juzi (kama sijakosea) alikuwa akitoka Tunduma kuelekea...