basi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama lengo lako ni kuzaa ili watoto waje kukulipa fadhila kwa malezi yako basi nakushauri hairisha kwa sababu wewe ni mjasiriamali na sio mzazi

    KAMA LENGO LAKO KUU NI KUZAA ILI WATOTO WAJE KUKULIPA FADHILA KWA MALEZI YAKO BASI NAKUSHAURI HAIRISHA KUWA MZAZI KWA SABABU WEWE NI MJASIRIAMALI NA SIO MZAZI. Ni ushauri tu sio lazima ufuatwe na wote ila unaweza kuutafakari kabla ya kuupinga kwa mihemko ya hoja zisizo na mashiko.Kama hujui...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Utingo wa Basi la kampuni ya Dolphin Express (njia ya Dodoma-Arusha/Moshi) ndio kinara wa kuibia abiria

    Kama ulikuwa hujui hilo basi sasa anza kuchukua tahadhari mapema. Ama usipande kabisa hilo basi au ukipanda huku ukikaa kwa tahadhari kubwa sana, maana utingo wa basi ndio mastermind. Kampuni ya mabasi ya Dolphin Express kwa sasa huenda ndio inaongoza kuwa na makondakta (utingo) wezi wa mali za...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

    Tanzania watu wanaoshi kwemye comfort zone huo ndo ukweli ukitembea ndo utaelewa watu wako kwenye comfort zone Ni kawaida Tanzania kupita na kukuta watu wapo kwenye vijiwe vya kahawa au shoe shine mda wa kazi wanabishania yanga na simba au mambo ya siasa, Tanzania mtu anaweza asiwe anafanya...
  4. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Kama nikifa leo au kesho basi mjue Harmonize ndio ameniua

    Baba Levo bado anaugulia maumivu makali ya shingo baada ya kula kichapo kutoka kwa Harmonize. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Babalevo amesema, "Shingo linaniuma, kama nikifa leo au kesho kwa tatizo hili basi mjue Harmo ndio ameniua" - Baba Levo Ikumbukwe kuwa Baba levo ameshachukua RB na...
  5. JamiiForums Tanzania Kama tukiendelea kuamini kwamba huu mgawo wa umeme ni halali basi tutakuwa ni wajinga sana

    Nisikuchoshe Ni Dunia ipi au nchi Gani umewahi kusikia matengenezo ya umeme ya muda mrefu kiasi hiki? Ni wapi umewahi kuona umeme unawaka kila dakika Tano unazima? Kwanini mgawo huu ni mkali kiasi hiki? Kwanini bwawa halikamiliki kwa wakati? Sikuwahi kufikiri kwamba waziri wa nishati ni...
  6. JamiiForums Tanzania Nauli ya basi Dar mpaka Lubumbashi

    Ahlan wasalaan, Naomba kumuulizeni ni kiasi gani cha nauli kwa fedha ya kiTanzania. Natanguliza shukran. Najaribu kuweka basi katika kutafuta riziki. Na pia kama kuna changamoto zozote katika njia naomba unijuze. Shukran tena 👍
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kama Makonda ana uthubutu, ajaribu kumpigia Nape simu akiwa jukwaani

    Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine. Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea. Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwanyang'anya silaha wamasai basi ubadilishe kabisa utamaduni wao hata nguo wasivae nguo zao zinazopepea

    Twendeni kwenye mada baada ya Salam. Yaani mmasai atembee na nguo yake ile inayoopepea pepea bila kuwa na rungu ,sime au fimbo ni ngumu sana. Yaani hapo unachotakiwa kufanya ni overall nzima ya utamaduni wake yaani kuanzia sasa waache kuvaa mashuka na waanze kuvaa majeans na macadet na waanze...
  9. JamiiForums Tanzania Humtaki single mother sawa basi nenda kaoe ambae sio single mother uwache kuwasema vibaya single mother

    Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taifa. Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material. Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuki.
  10. JamiiForums Tanzania Siku Atheists wakiweza kutengeneza pumzi ya uhai na ku-escape death basi ntaungana nao

    Kama kinavyosema kichwa cha habari siku wakiweza kufanya hayo mambo mawili basi ntaungana nao kwenye msimamo wao tofauti na hapo ni porojo tu. Hivyo vitu viwili ndo mafumbo makubwa yaliyomfanya mwanadamu na ujanja wake wote aufyate.
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha hapa namanisha kiuchumi basi fanya hivi

    Kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi. Acha Kuendekeza wanawake Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo; 1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa. 2. Kuwa na mwanamke mpambanaji...
  12. JamiiForums Tanzania Mhitimu unayeamini waliopata sifuri Form 4 ndio kutimiza ndoto zao basi elewa kwamba ulipoteza muda shuleni

    Watu kadhaa wamenitag kwenye Uzi wa matokeo ya Necta ili nijionee jinsi vijana wa shule za Kayumba walivyo pata zero na 4 kwa wingi. Ni kama vile wanasema "Wewe si ndo unajifanya kuzipigia kampeni shule za Kayumba ona sasa walicho kipata?" Hapo hapo ni kama vile wanasema tena "Hawa vijana...
  13. JamiiForums Tanzania Simon Msuva basi hata kama uliamua Kumpigia pande huyo Shemeji yako Mzungu Taifa Stars, mbona ana Kiwango kibovu hivyo?

    Halafu hapo hapo tena tukaambiwa kuwa huyo Shemeji yako ( Mchezaji Mweupe kutokea Uingereza ) anacheza Ligi Daraja la Tatu wakati kumbe anacheza Ligi Daraja la Tano Uingereza ambalo kwa huku Kwetu Tanzania ni sawa tu na Ndondo Cup ile ya Shaffih Dauda. Kwahiyo Simon Msuva ( Shemeji Mtu ) na TFF...
  14. JamiiForums Tanzania Morogoro: Basi la New Force lapata ajali Iyovi

    Ajali Ya Basi la New Force lililokuwa linatoka Mbeya Kuja Dar ( Hakuna Kulala ) Maeneo ya Kidai B baada ya Kugongana na Lori na Gari Ndogo Abiria wako Salama Kuna Majeruhi Wadogo Tu Iii imetokea leo 23/01/2024 asubuhi Mtoremko wa Iyovi Pia soma: New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata...
  15. JamiiForums Tanzania Wazee mnaokaribia kustaafu jipumzisheni basi na hekaheka za kikazi

    Unakuta mzee kabakisha miaka miwili au mmoja astaafu anaanza kuwa na hofu ya maisha baada ya kustaafu ile hali inampelekea awe katili sana linapoluja suala la pesa.Kila safari inayokuja analazimisha ahusike hata activities ambazo zinapendeza aachie Vijana anang’ang’ania.Sio vizuri kwa kweli...
  16. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Jeshi litafanya usafi tarehe 23-24, basi CHADEMA ifanye maandamano tarehe 25 wapite njia zikiwa safi

    CHADEMA imetangaza kufanya MAANDAMANO TAREHE 23. Katika hali ya kushangaza JWTZ nao tarehe hizo wamepanga kufanya usafI ingawa wangeweza kupanga tarehe nyingine ya kufanya huo usafi. Hata hivyo suala la usafi ni suala muhimu Sana,, Hivyo CHADEMA nawashauri tarehe Hiyo wasofanye MAANDAMANO Yao...
  17. JamiiForums Tanzania Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

    Basi lenye Terias injini ya scania 113 hoarse power 320 body limetengenezewa kenya linauzwa lipo katika hali nzuri na hivi sasa linatembea na injini yake haijawai kuguswa.bei yake ni rahisi ambayo hata watu wahali ya chini wanaweza kumudu kwa mawasiliano zaidi bei ni tzsh mil 50,000,000 sababu...
  18. JamiiForums Tanzania Kifo sio lazima niamini mimi, basi sio kwa vile jinsi tulivyokizoea broh

    Ule msemo wa kwamba kila nafsi itakufa ni uzushi tu. Ni uzushi ambao umekubalika sana kiasi ambacho umeshakuwa kipande-cha-ukweli. Mbadala wa kipande-hicho-cha ukweli hata kama ni kweli kabisa lakini sasa ukizungumziwa basi watu watautazama kwa macho yenye walakini kana kwamba ni habari ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi baadhi ya watu walivyo kuwa slow hapa jukwaani, laiti kama ningefanya nao " kazi" enzi zangu za ushetani basi wengi wao wangekufa

    Miaka ya elfu 2 mwanzoni nilikuwaga jambazi. Section yangu ilikuwa udereva. Jukumu langu lilikuwa kuwaendesha " ma afande wangu " baada ya tukio. Kanuni yangu ilikuwa tukienda "kiwanja" ( eneo la tukio) kukiwasha, tukio likisha fanyika basi ndani ya dakika 2 baada ya tukio inatakiwa kila...
  20. JamiiForums Tanzania Nadhani kama Mbatia ,Mnyika na Lissu wataunda Chama basi hiki ndicho kitakuwa Chama halisi cha Upinzani

    Kiuhalisia ukitoa wana harakati kama kina Mdude ,Mwabugusi na wengine wachache nchi inabaki na watu wachache sana ambao ambao wazalendo wa kweli na mioyo yao kila siku hunena mema kuhusu Tanzania . Lisu , Mbatia na Mnyika ni moja ya watu makini sana na wazalendo Tatizo hawana nguvu za kichama ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…