basi

  1. JamiiForums Tanzania Upinzani wanaipenda CCM, kama hawaipendi basi waanzie kukosoa sera za Hayati Mwalimu Nyerere

    Historia ya Tanzania(Tanganyika) inatuonesha muasisi mkuu wa chama cha TAA hatimae TANU(CCM) ndiye Rais wa awamu ya kwanza wa nchi Mwalimu Nyerere ndiye yeye aliyeanzisha itikadi na falsafa za chama pamoja na utamaduni huu ambao tupo based. Lakini napata mshangao kuona majukwaa ya upinzani...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Rev. Fr. Charles Kitima kwenye utiwaji saini wa Mkataba wa DP World unahitaji majibu

    Tumsifu Yesu Kristu. Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile...
  3. JamiiForums Tanzania Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

    Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta. Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo 18 vya abiria wa basi la Alfa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea leo saa 5 asubuhi katika kata ya Uchama, tarafa ya Nyasa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania imeuzwa watuambie basi

    Salamu ya nini? Haina maana umeme toka asubuhi mmekata then mnarudisha jioni, baada ya lisaa limoja mnakata tena, sasa mlirudisha ili iweje? Masoko kila kukicha yanaungua, nauliza bandari mmetahifisha? Au tukisema ukweli mnatukamata na kutuma wale jamaa wasiojulikana kututeka. Taifa...
  6. JamiiForums Tanzania Iran yasema kama Israel hawatavamia, basi HAMAS wataachia mateka, wanaweweseka sana hawa

    Hawa hawa Iran ndio wamekua wakibwatuka maneno mengi na mikwara, leo wanabadilisha gia eti israel ikiacha mipango ya kuvamia basi mateka wataachiwa huru, kitu ambacho HAMAS wamekana na kupishana kauli na mfadhili wao Iran. Ukweli Iran wanajua Israel itavamia na hamna chochote wanachoweza...
  7. JamiiForums Tanzania Ushoga katika taifa la Israeli

    Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu. Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22 "π‘Όπ’”π’Šπ’π’‚π’π’† 𝒏𝒂 π’Žπ’•π’– π’Œπ’‚π’Žπ’‚ π’Žπ’•π’–...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama issue ni kuiwini Kanda ya ziwa basi mtu mwenye ushawishi ni Luhaga Mpina

    Nimefatilia hizi teuzi za hivi karibuni za kisiasa. Na nikapitia maoni kadhaa ya wadau. Nikagundua kuwa huenda mamlaka za uteuzi zimefikiria kuwa Kanda ya ziwa inaitaji mtu 'wao' Ili kuwin kura za Kanda hiyo. Na ndio ukafanyika huo uteuzi wa naibu wa mawaziri wote. Lakini kama issue ilikuwa ni...
  9. JamiiForums Tanzania Queen Sendiga, pendeza basi mama, tunaokutazama tufurahi!

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ni mwanamke yuko kitofauti kidogo. Siwezi kusema ni mwanamke ambaye hajipendi lakini haiba yake hadharani inabidi iboreke. Kama mwanamke lazima apendeze, avutie, na hiyo ndio raha ya kumtazama hata kwenye runinga. Mama Samia tukimtazama kwenye runinga...
  10. JamiiForums Tanzania Kama kweli Mungu anaangalia moyo tu na sio mavazi, kwanini basi watu wasitembee uchi tu?

    Kumekuwa ni mtizamo tofauti kuhusu mavazi hususani kwa wanawake katika jamii zinazoamini katika Mungu, mahususi kwa waamini wa kikristo. Moja ya mtizamo unaokuwa kwa kasi ni wanawake kutaka kuvaa mitindo yoyote ya mavazi pasipo kuzingatia staha na heshima kwa hoja kuwa Mungu haangalia mavazi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Serikali: Ikiwa hazina ya nishati ya mafuta ipo basi haraka yachimbwe

    Huko ulimwenguni wameshatabiri kuwa bei ya mafuta itazidi kupaa hadi 2045, kama hamuelewi maana ya mwendo kasi mtaielewa, ile ya kauli ya piga tajame TZ haifai kutumika tena. Serikali kama inavyofukua madini basi sasa wakati umefika wa kuivuta juu hazina ya mafuta, na kwa vile kiwanda cha...
  12. JamiiForums Tanzania Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

    Habari wakuu , naomba kuuliza...
  13. JamiiForums Tanzania Kama CEO Popat na Msemaji Ibwe watakuwepo Azam FC hadi tarehe 25 Oktoba, 2023 wakicheza na Yanga SC basi Watafungwa

    Kwa 95% Kiongozi wa Azam FC ( ambaye Watu wa Mpira Tanzania tunajua ni mwana Yanga SC lia lia ) CEO Popat ndiyo huwa Silaha Kuu ya Yanga SC kuifunga Azam FC muda wowote na inavyotaka. Na hiyo 5% iliyobaki ni ya Msaliti mwingine mdogo Msemaji Ibwe ( ambaye ni mwana Yanga SC kindakindaki ) hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzanzia wanajua fika wanaibiwa na hawamtakki raisa Samia ila basi tu

    Hata sakata la umeme wanajua ni mchongo tu wa kihuni. Wanajua fika huyu mama hana sauti ya kuendesha nchi Amedhibitiwa na wahuni. Watanzania wote hawamtaki na wanajua fika hafai ila basi tu.
  15. JamiiForums Tanzania Kampuni ya basi Machame safari Kutoka Dar ~ Arusha zimeadimika barabarani shida nini?

    Hii kampuni ilianza Kwa speed ya 5G , Kwa safari Za Dar Es Salaam kwenda arusha. Ili fungua Ofisi kila mahali Huku Dar Es Salaam na Arusha . Ukilipanda ulikuwa Unapewa soda , juice na pipi sasa gari zimeadimika barabarani Tatizo ni nini!! Au wanahisi walichomoa Huku Hisa zao!!
  16. JamiiForums Tanzania Kama MDDU Unit ya TANESCO ni Mali ya Maharage, Basi astaafishwe kwa manufaa ya Umma

    Pale TANESCO kuna tatizo, wafanyakazi wameshajikatia tamaa sababu wanaona Ofisi ya Umma imekuwa Ofisi ya Upigaji kwa Viongozi wa juu. Maharage alipo pelekwa pale TANESCO, alianzisha mfumo wake wa kupiga hela, akaanzisha Managing Director delivery unit - MDDU. Akaweka watu wake, halafu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Dar: Basi la shule la St. Florence Academy (hiace) lapata ajali maeneo ya Interchick Mbezi Beach

    Ajali hii imetokea asubuhi hii, basi hilo likionekana kutumbukia kwenye mtaro likiwa na wanafunzi kama 10 hivi. Kwa kuwaangilia watoto hawaonekani kuwa wameumia sana, zaidi ya michubuko na hofu kwa kilichotokea. Basi jingine kubwa la shue hiyolilipita eneo hilo na kuwachukua watoto hao...
  18. JamiiForums Tanzania Kama kuoa ni raha basi tusiwaone na michepuko sehemu za starehe na kwenye Magest

    Mawakala wa kampeni ya kuoa na ndoa ni raha, tafadhari jiheshimuni sana, endapo kuoa ni raha na ndoa pia ni raha basi tunawaonya iwe ni marufuku tusiwaone kwenye sehemu zetu za bata na kwenye Magest mkiwa na michepuko. Hio mizunguko tuwaone mkiwacna wake zenu wa ndoa. Sauti iwafikie popote...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

    Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna ratiba ya umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI. Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Je, unaikumbuka ajali ya basi la UDA Oysterbay/Masaki?

    Wakati niko nasoma pale Nusery school hapo pale pembeni ya Oysterbay Primary school , tulipata taarifa kwamba kuna basi la kati ya UDA au Kamata limepata ajali meneo ya Kilima Masaki na kwamba kuna wanafunzi wame laliwa na bus na kuwaua. Habari hiyo ilinitisha mpaka leo nakumbuka ile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…