Chini ya mkurugenzi huyu wa mashtaka serikali lazima kila siku itakuwa inapelekwa mchaka mchaka na washtakiwa.
Ebu fikirieni tangu akina Basil Mramba na mwenzie Daniel Yona wahukumiwe kwenda jela miaka mitatu mpaka wamemaliza kifungo leo ndiyo DPP anagundua kwamba kifungu cha 77 (1) alichotumia...