Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19.
Kifo chake kimesababishwa na Mshituko wa Moyo(Cardiac arrest)
Mramba aliwahi kuwa Waziri wa fedha, pia Waziri wa...
Former two senior ministers Basil Mramba and Daniel Yona, who were in February released from prison and ordered to do community service for the remaining period of their jail term, finished their sentence on Thursday.
They were assigned to do community work at the Sinza Palestine Hospital...
Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona na waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba ambao wanatumikia kifungo cha nje pamoja na kufanya usafi katika hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam, wamepewa kazi nyingine ya kusaidia kuongeza ufanisi ofisini. Mawaziri hao wa zamani...
MRAMBA AELEZEA MAISHA YA JELA NA FAIDA ZA KIFUNGO CHA NJE
Aliyekuwa Waziri wa Fedha katika Serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba, ameishauri Serikali kuhakikisha inawatumia wafungwa kutumikia jamii badala ya kuwarundika magerezani kwani maisha ya gerezani si salama na si njia pekee ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.