Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi.
Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo
Mi nipo IRINGA MJINI.
Ahsante sana kwa atakaeshiriki...
Ndugu zangu nimekuwa nikiwaza ni jinsi gani ntaweza kusaidia kujenga uwanja wa BASKETBALL mtaani kwangu kwa muda mrefu sasa, sina kiasi cha pesa cha kutosheleza kwasababu mimi pia ni mwanaharakati wa hapa na pale ili nipate kula.
Katika kukaa na kutafakari nkagundua kwamba naweza nikakutana na...
pichani ni mchezaji maarufu zaidi NBA Lebron James futi 6'8 / sentimita 208
Siku ya jana nilikuwa nimeenda kupasha mazoezi uwanjani kukimbia raund zangu, nilienda kupumzika kwenye court ya baketball nikawa nawasikia vijana wanapeana moyo wa kucheza nba, vimo vyao hakuna hata moja aliefika futi...
Timu ya Wanawake ya Kikapu ya Australia imepata matokeo ya kushtua baada ya kufungwa Vikapu 75-62 dhidi ya Nigeria kwenye Uwanja wa Pierre Mauroy Jijini Lille. Mchezo ujao wa Australia “The Opals” itacheza dhidi ya Ufaransa
Katika kujiandaa na Olympic leo USA anacheza na S Sudan. Mpaka sasa South Sudan anaongoza 43-30 dakika 5 zinebaki kuwa half time.
USA ina mastaa wa kutosha. Bron, Curry, Embiid, ADavis na wengine wengi.
Final score USA 101-S Sudan 100
Today(Monday) USA vs Germany
Wakuu Leo ni final ya Taifa Cup Basketball kati ya Mara wanawake na Unguja wanawake kama Kuna mtu anaangalia haya mashindano basi atupe matokeo kujua Jesca vipi anaendeleza ufalme au kakwama.
Ni game Kali sana
Naanza na hivi hapa, mwenye favorite yake naye aweke tuvione
1. Converse All Stars
2.Nike Air Revolution
3.Pump Omni Zone Retro
4.Nike Air Force Command
5.Nike Sky Force
6.Nike Delta Force
7.Adidas Pro Model
8.Adidas Forum
9.Nike Terminator High
10.Nike Air Jordan VI
Hello bosses and roses.
Huyu kijana anachezea Memphis ni hatari, aina yake ya mchezo ni ngumu sana kuiona kwa wachezaji wengine sasa na miaka kadhaa iliopita. Na bado ni kijana mbichi, 23 years.
Jamaa anafanya anachotaka uwanjani, uwezo wake wa kuruka juu ni mkubwa sana.
Last week kwenye...
Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limetoa orodha ya Jezi 15 za msimu wa 2022/23 kutoka Vilabu tofauti zinaoongoza kwa mauzo hadi sasa.
Jezi namba 6 ya LeBron James kutoka LA Lakers imeongoza kwa mauzo ikifuatiwa na Jezi namba 30 ya Golden State Warriors inayovaliwa na Stephen...
Natumai muwazima
Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli
Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu
Nipo kigamboni vijibweni
Natumai muwazima
Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli
Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu
Nipo kigamboni vijibweni
Ikiwa imeaanza kwa kusuasua kwenye michezo wa Olympic, Marekani imetwaa kwa mara ya nne mfululizo medali ya dhahabu kwenye michezo ya Olympic kwa kuifunga Ufaransa 87 kwa 82.
======
Team USA secured a fourth straight Olympic gold medal as they beat France 87-82 in Tokyo.
It was the second time...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.