basketball

  1. KIU head coach and Deputy Captain Join Ugandas National Basketball Team for Fiba Zone V Qualifiers

  2. Msaada mwenye kufahamu vilipo viwanja vya basketball Iringa

    Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi. Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo Mi nipo IRINGA MJINI. Ahsante sana kwa atakaeshiriki...
  3. Maombi ya kujengewa uwanja wa Basketball Toangoma wilaya ya Temeke

    Ndugu zangu nimekuwa nikiwaza ni jinsi gani ntaweza kusaidia kujenga uwanja wa BASKETBALL mtaani kwangu kwa muda mrefu sasa, sina kiasi cha pesa cha kutosheleza kwasababu mimi pia ni mwanaharakati wa hapa na pale ili nipate kula. Katika kukaa na kutafakari nkagundua kwamba naweza nikakutana na...
  4. G

    Watanzania wasiovuka futi 6 chezeni basket kujifurahisha, Nimekutana na vijana wenye 5'6 - 5'8 wanapeana matumaini kucheza NBA nimesikitika

    pichani ni mchezaji maarufu zaidi NBA Lebron James futi 6'8 / sentimita 208 Siku ya jana nilikuwa nimeenda kupasha mazoezi uwanjani kukimbia raund zangu, nilienda kupumzika kwenye court ya baketball nikawa nawasikia vijana wanapeana moyo wa kucheza nba, vimo vyao hakuna hata moja aliefika futi...
  5. Msaada kufundishwa ku-bet basketball

    Msaada wa kufundishwa ku-bet basketball
  6. Serbia anachomfanya USA kwenye basketball ni udhalilishaji wa kijinsia

    Mpaka sasa Serbia tunaomgoza kwa advantage ya vikapu 14 Linakufa jitu huku
  7. Paris 2024 Olympics basketball: Opals suffer shock defeat to Nigeria in opener

    Timu ya Wanawake ya Kikapu ya Australia imepata matokeo ya kushtua baada ya kufungwa Vikapu 75-62 dhidi ya Nigeria kwenye Uwanja wa Pierre Mauroy Jijini Lille. Mchezo ujao wa Australia “The Opals” itacheza dhidi ya Ufaransa
  8. Hii basketball team ya USA imekusudia Nini mbona imesheheni mastar tupu!

    Na sio team TU hadi mashabiki ni mastar maana naona kina queen latipha n.k in da house baby
  9. Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

    Katika kujiandaa na Olympic leo USA anacheza na S Sudan. Mpaka sasa South Sudan anaongoza 43-30 dakika 5 zinebaki kuwa half time. USA ina mastaa wa kutosha. Bron, Curry, Embiid, ADavis na wengine wengi. Final score USA 101-S Sudan 100 Today(Monday) USA vs Germany
  10. Kama Kuna mtu anafatilia Taifa cup basketball atupie matokeo hapa leo tuone nani kabeba ndoo

    Wakuu Leo ni final ya Taifa Cup Basketball kati ya Mara wanawake na Unguja wanawake kama Kuna mtu anaangalia haya mashindano basi atupe matokeo kujua Jesca vipi anaendeleza ufalme au kakwama. Ni game Kali sana
  11. Top 100 Basketball Shoes of All Time

    Naanza na hivi hapa, mwenye favorite yake naye aweke tuvione 1. Converse All Stars 2.Nike Air Revolution 3.Pump Omni Zone Retro 4.Nike Air Force Command 5.Nike Sky Force 6.Nike Delta Force 7.Adidas Pro Model 8.Adidas Forum 9.Nike Terminator High 10.Nike Air Jordan VI
  12. Hivi kweli timu ya Taifa ya mpira wa kikapu ya Walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen?

    Hivi ni kweli timu ya taifa ya mpira wa kikapu(basketball) ya walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen hamuoni mnaaibisha taifa?
  13. BASKETBALL: Ja Morant ndo master mpya wa court kwa sasa

    Hello bosses and roses. Huyu kijana anachezea Memphis ni hatari, aina yake ya mchezo ni ngumu sana kuiona kwa wachezaji wengine sasa na miaka kadhaa iliopita. Na bado ni kijana mbichi, 23 years. Jamaa anafanya anachotaka uwanjani, uwezo wake wa kuruka juu ni mkubwa sana. Last week kwenye...
  14. Jezi 15 za 'Basketball' zinazouzwa zaidi Ligi ya NBA, LeBron James anaongoza

    Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limetoa orodha ya Jezi 15 za msimu wa 2022/23 kutoka Vilabu tofauti zinaoongoza kwa mauzo hadi sasa. Jezi namba 6 ya LeBron James kutoka LA Lakers imeongoza kwa mauzo ikifuatiwa na Jezi namba 30 ya Golden State Warriors inayovaliwa na Stephen...
  15. Wazee wa Basketball nina swali

    Nauliza ile mechi ya Ukonga Kings na JKT nani alishinda. Nilianga quarters 2 tu ya 1 ikawa 22 kwa 22 na ya pili ikawa 48 kwa 48!
  16. Kwanini wadada wengi hawapendi Basketball?

    Ni mchezo mzuri sana ukiujua... ni muda sasa wa kujifunza na kuanza kuucheza.
  17. E

    Wanaojua viwanja vya basketball Dar es Salaam

    Natumai muwazima Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu Nipo kigamboni vijibweni
  18. E

    Wanaojua viwanja vya basketball dar es salaam

    Natumai muwazima Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu Nipo kigamboni vijibweni
  19. L

    Star wa Basketball USA Magic Johnson akiwa na mwanae wa kiume

    Huyu mwamba yuko na mwanae wa kiume. Kuna kitu hakiko sawa.
  20. Tokyo Olympics: Marekani yabeba tena medali ya dhahabu mpira wa kikapu

    Ikiwa imeaanza kwa kusuasua kwenye michezo wa Olympic, Marekani imetwaa kwa mara ya nne mfululizo medali ya dhahabu kwenye michezo ya Olympic kwa kuifunga Ufaransa 87 kwa 82. ====== Team USA secured a fourth straight Olympic gold medal as they beat France 87-82 in Tokyo. It was the second time...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…