Habarini wanajamvi, poleni na majukumu ya kujitafutia ridhki.
Ninao bata Bukini wanaotarajia kutaga pair 2, yaani majike 2 na madume 2, na Bata mzinga 3 majike 2 na dume 1.
Bata wote hawa nawauza kwasababu za kuhama eneo hivyo ni vigumu kuwabeba ndio maana nalazimika kuwauza haraka.
Kwa mwenye...
Nauza bata maji wako 8 kwa bei ya laki moja ya kitanzania (Tsh 100,000/-).
Bata wana miezi mitano, mmoja ana miezi nane hivi. .
Bei nauza kama bure haipungui hata senti moja.
Nauz vifaranga vya bata aina mbali mbali Kama vile bata Bukini, jumbo perkin, ruen, Indian runner .
Na pia nauza bata wa Kienyeji ( Muscovy)
Napatikana CHANIKA KWA SINGA
Call 0783 29 11 07
Habari za leo,
Ntaomba kufahamishwa kuhusu Hawa Bata,nataka kuwafuga kwa kweli.
Huwa naaikia wanataga mayai mawili tu kwa mwaka.
Kama Kuna taarifa nyingine au kuna mtu anawafuga, mwenye uzoefu nao anifahamiahe zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.