Aim: Nauza Bata
Specie: Bukini Serbié wakubwa
idadi: Wawili (dume na jike)
Price: Dume (TZS 330,000) na Jike (TZS 300,000)
Combined Price: Ukichukua wote nakuuzia kwa 600,000/=.
Location: Makongo Juu, DAR.
Mawasiliano: 0718 102033
Nota bene: Huyu Jike anataga, as of today anaatamia mayai kumi...