Natamani sana nyumba yangu iwe na rangi nzuri kwa nje na ndani itakayovutia machoni kwangu na hata kwa mpitaji.
Kwa minajiri hiyo naombeni mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka nje ya nyumba ambayo imeezekwa kwa bati la kijani. Napokea pia mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka ndani yq nyumba...