bavicha mbeya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pre GE2025 BAVICHA Mbeya: Tunamtaka Amani Manengelo aliyotoweka arudishwe akiwa mzima, tusije tukavuka mstari ambao hatutaki kuuvuka

    "Nitoe wito kwa OCD Misungwi, nitoe wito kwa RPC Mwanza, nitoe wito kwa Waziri wa mambo ya ndani, na nitoe wito kwa anayefanya kazi ya kuteua hao wote, Amiri jeshi mkuu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nitoe wito kwamba maisha na uhai wa mtu mmoja unafaa kuwa na thamani kubw...
  2. Pre GE2025 Ubalozi wa Marekani: Tumeshtushwa na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi kuwadhibiti CHADEMA

    Tumeshtushwa sana na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi wakati wa kuwakamata viongozi wa Chama cha siasa cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, washiriki vijana, na waandishi wa habari kabla ya mikusanyiko iliyopangwa kufanyika Mbeya katika kuadhimisha Siku ya...
  3. Q

    Pre GE2025 Je, chini ya utawala wa Rais Samia ndio imevunjwa rekodi ya kukamatwa wapinzani wengi wa kisiasa zaidi ya 500 kwa siku moja?

    Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho. Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala Magufuli combined waliwahi kukamata na kuwaweka mahabusu wapinzani wao wakiwemo viongozi wao wakuu kwa...
  4. Q

    Pre GE2025 Mbeya: Vijana wa CHADEMA waliokuwa wanashikiliwa waanza kuachiwa bila masharti yoyote

    Habari njema kutoka Mbeya Vijana wa CHADEMA waliokuwa kituo cha Polisi Utengule Mbalizi wameachiwa usiku huu bila masharti yoyote. Updates Catherine Ruge: Wameachiwa wote isipokuwa wanawake 19 bado wako mahabusu. HOW? Pia soma John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi...
  5. Q

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe

    Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu umeongozwa na RPC wa Mbeya. ======================== Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya...
  6. Pre GE2025 Tundu Lissu amtahadharisha Rais Samia, amtaka aache mambo ya ajabu baada ya Polisi kuzuia vijana wa BAVICHA

    Rais Samia usilete mambo ya ajabu ajabu ya Magufuli. Siku ya Vijana Duniani inasherehekewa duniani kote. Kwa nini mapolisi wako wanazuia vijana wa CHADEMA barabarani & kuwakamata? Matumizi ya mapolisi yalimshinda Magufuli, & wewe yatakushinda. Fungua barabara vijana waende Mbeya! Kwa vijana...
  7. Pre GE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…