Bawasiri ni ugonjwa unaotokea pale ambapo mishipa ya damu kwenye eneo la haja kubwa huvimba na kusababisha maumivu, muwasho, au kutokwa na damu hasa wakati wa kujisaidia haja kubwa. Bawasiri hujulikana kwa kitaalamu kama Hemorrhoids.
Bawasiri inaweza kutokea ndani ya rektamu (bawasiri ya ndani)...
Bawasiri ni moja ya Matatizo sugu yanayowasumbua wagonjwa wengi hapa tanzania na kwengineko.
Ugonjwa huu umeshika kasi kubwa sana kutokana na sababu za mitindo ya vyakula bila utaratibu. Na mengineyo.
Bawasiri imewafanya watu kukosa amani ya nafsi leo sababu wanahisi ni ugonjwa ambao hauwezi...
Msaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona.
Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone
Habari ndugu zangu nawasalimu sana.
Bawasiri ni tatizo linalowasumbua watu wengi na wengi wetu tunauchukulia kama ugonjwa wa aibu kutokana na eneo lenyewe linalo athirika.
1. Bawasiri ni matokeo ya kuathirika kwa mfumo wa chakula
2. Mmengenyo wa chakula unapokuwa mbaya na ivyo kinyesi katika...
Habarini za muda huu
Najua jamii forum ni forum yenye watu wa nyanja mbali mbali sasa nimekuja hapa kuomba msaada wa namna gan ntasajir dawa yangu ya kutibu bawasir ili nianze kuifanyia PA na kuibrand
Dawa yangu imekua na mafanikio makubwa katika kutibu bawasir imewatibu watu weng waliokata...
Sikuhizi imekuwa kawaida sana watu kula ndizi, wali, ugali huku mboga ikiwa ni maharage, nyama, mchuzi, n.k. bila kutumia mboga za majani aina ya chakula maarufu chenye nyuzi kama figili, mchicha, n.k. kama ipo inakuwa ni kiasi kidogo sana ukila tonge mbili za kipimo sahihi habari imeisha...
Samahani wa ungwana ni mara ya tatu tena nakuja kwenu. Bado nauguza vidonda nilivyovipata huko nyuma kwa matibabu ya bawasiri yasio sahihi.
Nataka nikipona vidonda niende hospital kwa matibabu zaidi lkn.
Kilichonileta kwenu tena ni hii picha ambayo nimewaletea wale watalaamu wa kujua aina za...
Wadau naomba msaada kwa mara nyingine tena kwa habari ya bawasiri
Nimetumia dawa za kienyeji za kunywa na kupaka nimetumia za tiba mbadala lkn wapi ndipo nikaamua kwenda kwa mtaala mmoja nikaambiwa yeye huwa anakutibu mpk bawasiri ina isha kbs
Na jamaa zangu wengi wameenda kwa huyo mtu...
Naomba ushuhuda wa mtu aliyekuwa na bawasiri ya ndani akatumia dawa iwe ya hospitali au Tiba mbadala akapona atusaidie na sisi maana tumetumia hizo dawa za kienyeji mpk tumechoka Hela tu inaenda na km ni dawa ya dukani atutajie maana wanadai bawasiri pia inapunguza zile nguvu.
Naomba kuwasilisha
Hakuna gonjwa baya kama bawasiri. Ni ugonjwa unaokera sana.
Yale manyama yanavyochungulia kwenye shimo la ikweta yanaleta ukakasi mkubwa sana licha ya madhara mengine mengi.
Ukichuchumaa linyama linafumuka. Ukienda kukata gogo linyama linafumuka. Unakuwa kama mama aliyejifungua. Shimo la...
Nawasalimu nyote kwa nguvu za huyo atiaye uhai.
Kwa mtanzania wa kawaida asiye na bima ndan ya dar wapi pa uhakika kupima vipimo tajwa hapo juu kwa wakat mmoja?
Bajet yake ni sh ngap?
Mwenye mzaha katika afya aniache kwa leo.
Natanguliza shukran
Unaweza ukawa unakula ugali na mboga za majani na ukajiona unakula chakula chenye afya kumbe uhalisia ni kwamba unajiongezea sumu zaidi mwilini.
Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya Mto Msimbazi, Mandela road bonde lililoko kituo cha garage, Jangwani, Kigogo sambusa na maeneo...
Bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu iliyopo ndani au katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa. Pia bawasiri unaweza kusababisha kujitokeza kwa kinyama kwenye njia ya haja kubwa au puru.
AINA ZA BAWASIRI.
Kuna aina mbili za bawasiri nazo ni
1. Bawasiri ya...
Baadhi ya watu watabia ya kuongea na simu na wapendwa wao kwa muda mrefu. Licha ya kupata maumivu ya masikio, kichwa na matatizo ya macho, wataalamu pia wamebainisha madhara makubwa yanayoweza kutokea kupitia simu yako ya mkononi.
Shinikizo la damu
Ripoti iliyotolewa na watafiti kutoka Nchini...
Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.