Bawasiri ni ugonjwa unaotokea pale ambapo mishipa ya damu kwenye eneo la haja kubwa huvimba na kusababisha maumivu, muwasho, au kutokwa na damu hasa wakati wa kujisaidia haja kubwa. Bawasiri hujulikana kwa kitaalamu kama Hemorrhoids.
Bawasiri inaweza kutokea ndani ya rektamu (bawasiri ya ndani)...