Habari wa JF,
Naomba msaada wa kisheria nifanyeje hili swala.
Niliomba mkopo bayport tar 25/4/2024 na makato yakapita kwa utumishi tar 2/5/2024 cha ajabu up to now hawajaingiza hela kwenye account licha ya kuwa mwez huu tayari hela wameshanikata pale napofanya nao mawasiliano wananipa...