bazecha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Uchaguzi wetu ulikuwa mkali sana. Nimewapa BAZECHA jukumu la kusaidia kuponya majeraha ya Uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ameeleza kutambua maumivu ya walioshindwa uchaguzi ndani ya chama hicho na kutaja mikakati ya kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi huo. Akizungumza na waandishi wa Nipashe waliofika nyumbani kwake Jumapili iliyopita...
  2. chiembe

    Hata Lissu akishinda, BAWACHA na BAZECHA, na wajumbe wengine wa kamati kuu wasitoe ushirikiano wowote kwa Lissu

    Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu. Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 Mgombea Uenyekiti BAZECHA aahidi kuwapeleka wajumbe Makka

    Wakuu Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema (Bazecha), John Mwambigija maarufu ‘Mzee wa upako’ akiomba kura kwa wajumbe huku miongoni mwa sera yake ni kuwapeleka wajumbe wa baraza hilo kuhiji Makka. Uchaguzi huo unaendelea usiku huu Jumanne Januari 14, 2025 katika ukumbi wa...
  4. Erythrocyte

    Kamati Kuu ya Chadema yakutana Makao Makuu ya Chama Mikocheni, D'Salaam leo 10/1/2025

    Taarifa kutoka kwenye Chama hicho inaeleza kwamba, Ajenda kuu ya kikao hicho ni Usaili wa Wagombea wa Mabaraza ya Chama hicho, BAZECHA, BAVICHA na BAWACHA Usiondoke JF ili ufahamu Wagombea watakaopenya kwenye Mchujo huo kabambe mithili ya Kupita kwenye Tundu la Sindano
  5. Chachu Ombara

    M/Kiti wa BAZECHA Taifa, Hashim Juma Issa aomba radhi watanzania kwa kauli zake za udini

    Mzee Hashim Juma Issa, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Taifa aomba radhi watanzania kwa kauli yake. Pia soma Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani? Wazanzibari bado wanataka OIC, Watanganyika tubariki tuyaone maendeleo Hashim Issa: Rais Samia na...
  6. Mshana Jr

    CHADEMA yajitenga na kauli za BAZECHA kuhusu hoja za udini

    Tunajitenga na kauli zote zilizotolewa zenye viashiria vya udini kwani huo sio msimamo wa Chama na zinapaswa kupingwa na kila mtanzania bila kujali dini, kabila au mahali alipotoka.
  7. Mindyou

    Baraza La Wazee CHADEMA(BAZECHA) wakerwa na tabia ya vijana kukaa kwenye Mwendokasi wakati wazee wamesimama. Watoa pendekezo!

    Baraza la wasanii CHADEMA maarufu kama BAVICHA leo katika mkutano wao wa kuadhimisha siku ya wazee duniani wameoneshwa jinsi wanavyokereka na tabia wanazoonesha vijana kwenye mwendokasi. Soma pia: BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana Wakati...
Back
Top Bottom