bbi

  1. May Day

    Siasa za Kenya ni burudani tosha kila kukicha. Mwanasiasa Mtata Aisha Jumwa akiserebuka kwa Gospel kusherehekea anguko la BBI

    Mmoja wa Wanasisa wenye vituko kutokea Pwani ya Kenya Bi Aisha Jumwa ameamua kutoa burudani ya aina yake huku akipeleka ujumbe kwa Wapinzani wa Ruto.
  2. H

    Nahitaji ufafanuzi kuhusu BBI huko nchini Kenya

    Kwa yeyote anaeielewa vzuri BBI nchini kenya anieleweshe, ni kitu gani na dhima yake hasa ni ipi na je inaweza leta athari gani kwenye siasa za Kenya
  3. Mandela5599

    Nguvu ya Ruto kisiasa ilitegemea sana anguko la BBI

    Mchakato wa handshake (maridhiano ya kisiasa nchini Kenya) yalikutanisha makundi hasimu ya kisiasa kati ya Rais Uhuru Kenyatta kwa upande wa Jubilee na mpinzani Raila Odinga. Binafsi mwanzoni nilitazama kama mbinu ya kisiasa ya kuua upinzani Kenya, kwamba Ruto na Kenyatta walitengeza mgogoro...
  4. Mutaitina

    BBI process declared unconstitutional by high court

    Kenya Courts have done us justice. I was feeling disgusted by this process. I know it meant well for6the country but trying to sneak it without our input was much disrespect By uhuru. Kudos to the 5 bench judges for the courage to call out the president. Long live Independent judiciary for...
  5. kavulata

    BBI yamsogeza Kenyatta karibu na zawadi ya Nobel na Mo Ibrahim

    Nionavyo mimi tatizo kubwa la Kenya ni ukabila. Lengo kuu la BBI Bill ni kupunguza ukabila Kenya kwa kumfanya Rais wa nchi asiwe lazima awe Mkikuyu au aungwe mkono na wakikuyu. BBI inaelekea huko. Si ajabu mwaka 2022 kwa mara ya kwanza mjaluo akawa rais wa kenya.
  6. YEHODAYA

    Sehemu ya Ripoti ya BBI ya Kenya jinsi ya kumaliza ukabila naiweka Watanzania tusome Tuwashauri hapa

    Hii ni sehemu tu ya reporti ya Building Bridge Intiative (BBI) iliyokabidhiwa kwa Raisi Uhuru Kenyatta katika kipengele cha jinsi ya kumaliza ukabila nchini Kenya Mimi nawashauri kuwa wapige marufuku matumizi ya lugha za kikabila kwenye public places kama ofisi za serikali,mikutano ya...
  7. beth

    Letter from Africa: Is Kenya building bridges to nowhere?

    Violence broke out when the results of the October 2017 election were announced In our series of letters from African writers, journalist Waihiga Mwaura asks whether Kenya's divides can ever be bridged. Twenty-one months ago, Kenya's opposition leader Raila Odinga and his bitter rival...
Back
Top Bottom