Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta...