Upelelezi wa kesi ya uchochezi na kutoa taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii inayomkabili mwanaharakati na Mkurugenzi wa GH Foundation, Godlisten Malisa bado haujakamilika.
Malisa ameripoti leo Juni 18, 2024 katika ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kilimanjaro (RCO) baada ya kupewa...