Hapa kwangu najua mwenye shida martha kamrekodi mwenzie af yeye anaongea pole pole kujifanya hana hatia uku mwenzie akibwabwaja kwa hasira hakiwa hajui kinacho endelea
Alikuwa anajua anacho kifanya ndio maana kayafanya haya
Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii.
Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.