NImekuwa nikisumbuliwa na vitu kutembea maeneo nyuma a bega la kushoto zaidi miaka 15..
Kuna kipindi nilikuwa nakaa nyumba yakupanga, mama mmoja aliniambiaga mtoto wake mdogo alimwambia Kaka kuna vitu vinamtembea lakini nilipuuzia.
Ila sasa naona kama haviishi kwa mwenye experience inaweza...