Wazee wa JF.
Nakumbuka 2014 September, Tim Cook alipanda stejini na kutangaza simu mpya mbili, iPhone 6 na iPhone 6 Plus.
iPhone 6 ilianzia $199 kwa 16 GB na 6 Plus ilianzia $299 kwa 16 GB.
Bei ya juu kabisa ya 6 Plus ilikua ni $499 yenye 128 GB.
Mwaka huu, September yule yule CEO wa Apple...
Wakuu wa Urembo.
Wifi na shemeji yenu kuna kazi anafanya jua linamuharibu ngozi yake. Katika kuulizia imebidi atumie mafuta ya kulinda na mionzi ya jua (sunscreen).
Sasa mimi nikaona nimfadhili, eeh kuulizia naambiwa bei ghali sana. Kusema kweli mi kununua hii bei naogopa (above 50,000/=Tsh...
Kwa hali ilivyo sasa madereva kupigwa mpaka kuuwawa, abiria kushushwa kwenye mabasi kimafia na kuuwawa na matukio mengine mengi ya kiharifu, ni bora wamiliki wa mabasi mkafunga Camera hizi kwenye mabasi.
Kama mnafunga ving'amuzi inashindikanaje kufunga Camera japo kwenye lango la kuingilia...
Wakuu tangu nifungue biashara yangu ni wiki Sasa. Mazingira na miundombinu ya hapo ninapofanyia biashara yapo vizuri ila cha ajabu siuzi vile inavyotakiwa.
Yaani mtu anakuja anauliza kidali Tsh ngapi unamwambia bei anakigeuza geuza wee anakitathmini halafu anasema anarudi ndo imeisha hiyo...
Ni nadra sana kusikia mwaka umeisha bila kelele, vurumai na sarakasi za kila aina kwenye biashara ya hizi bidhaa mbili za sukari na mafuta ya kula. Nini hasa kinasababisha haya yote ukizingatia ni bidhaa rahisi sana kuzalishwa, nchi nyingi tu wanazalisha na hata sisi wenyewe tukiamua na kuweka...
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi wanawaibia "loyal customers" wake, sema ndio ivyo hawaoni au wanajizima data.
Tuachane na iPhone...
Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote.
Video hii ya upigaji picha kutoka kwa Buster Keaton "The General" (1926) iligharimu $42,000 (sawa na $600,000 leo). Kampuni ya uzalishaji iliacha mabaki ya gari-moshi huko Row River, kusini mwa Cottage Grove...
1. Hao kuku wanaitwa Ayam Cameni , Ni Weusi kwa kila kitu mpaka nyama na kiini cha Yai,
2. Waligunduliwa nchini Indonesia Karne ya 17 na bado hawapatikani nchi nyingi Hadi sasa
3. Nchini Marekani waliingia mwaka 1998 na Yai moja la kuku Hawa nchini marekani linauzwa dola $130 Karibia Shilingi...
Siku za hivi karibuni tumezoea kuwaona wazee wa Robo Fainali CAF aka mwakalobo aka kolowizad aka boss wa kununanuna wakipika data mbalimbali ili tu wawapiku wapinzani wao wa jadi ambao kwa sasa ndio talk of the country, Yanga.
Sasa inasemekama Mayele kauzwa kwa takribani 2.8B, record ambayo...
Ni msimu wa kilimo hasa kwa zao la mpunga kwa hapa nilipo. Nipo kijijini.
Kuna furaha kubwa sana kwa sisi wakulima mazao yakipanda bei sokoni! Thamani yetu na hali ya maisha inapanda sana.
Kundi ambalo lilisahaulika na kuwa kundi kwaajili ya kulisha watu mijini huku tukiumia mpaka tunaitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.