Habar wadau hope wote mpo poa
Maisha magumu lakini elimu pia inasaidia ila yenyewe bila ujanja ni kazi bure ujanja muhimu pia ukiongezea na elimu basi ni full mteremko !!!! nije moja kwa moja kwenye mada naomba ijulikane wazi hapa tunazungumzia bei au thamani ya kiwanja na sio nyaraka utapeli...
Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora
*Room 4 (Kimoja master)
*Sebule
*Jiko
*Public Toilet
*Umeme✅
*Maji✅
Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp 0763316426
Kanuni mama ya uwekezaji kwenye viwanja na nyumba ni kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba. Kanuni hii inamhusu mwekezaji yeyote anayewekeza kwenye viwanja na nyumba.
Kwa kutumia mbinu yoyote ya uwekezaji huu na kwa wakati wowote unatakiwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba...
Nataka nitafute masoko ya Vanilla nje ya mipaka ila kabla ya yote ningependa kujua bei ya Vanilla ni TZS ngapi kwa sasa hasa maeno inapotoka iwe Kilimanjaro, Bukoba ama Iringa.
Naomba anayejua anishirikishe niweze kujua bei ya kwenye source mashambani huko au kwenye zile AMCOs
Wanaofanikiwa sana kwenye Ulimwengu wa biashara sio wanaouza bidha ni wanaouza bei ya bidhaa.
Watanzania tunapenad kutumia kitu kwa wakati mdogo kukidhi haja ya muda tu na sio milele ili ufanikiwe katika biashara uza bei ya kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.