Nataka nitafute masoko ya Vanilla nje ya mipaka ila kabla ya yote ningependa kujua bei ya Vanilla ni TZS ngapi kwa sasa hasa maeno inapotoka iwe Kilimanjaro, Bukoba ama Iringa.
Naomba anayejua anishirikishe niweze kujua bei ya kwenye source mashambani huko au kwenye zile AMCOs