Tunatafuta matairi yaliyotumika ya mabasi makubwa na Scania.
💸 Tunatoa TZS 3,000 kwa kila tairi moja!
✅ Kiasi kinachohitajika: Tunapokea matairi kuanzia 50 au zaidi.
📍 Eneo: Upo Dar es Salaam? Tutakuja moja kwa moja hadi eneo lako!
Wakuu Nanunua Sungura wa porini kwa bei nzuri sana.
Kama ww n muwindaji au unaweza kuwapata nitafute tufanye biashara.
Bei 50000/= mmoja
Nipo Mwanza.
Watu wa dar mtulie haya si mambo yenu
Wakuu,
Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone.
Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo.
Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri...
Pambe ya mjini, si unajua balaa la manjano sasa haya ni Mafuta yake 1000ml bei ni 40,000 tu karibuni Sana.
Piga simu 0692436124
Hii ni Body Repairing Wapendwa:
🌺Inaondoa weusi mwilini kwenye mapaja, makalio, makwapani, magotini na viwiko vya mikono
🌺Inaondoa sugu zote za vidoleni
🌺Inaondoa...
+255 62 290 8295 simu ziite
Bei sticker za kawaida (plain)
Kwenye cm 3k
Kwenye pc 15k
Bei sticker za picha
Kwenye cm 5k
Kwenye pc 20k
Pc nzima 25k
Napatikana dar es salaam Survey
Wadau,
Naombeni msaada wapi nitapata Mashati na suruali kwa bei nzuri hapa Dar na Quality ya ukweli.
Mimi hupendelea mtumba sababu unakuwa wa tofauti kidogo kuliko Dar Combine. Anywhere but not Kariakoo please.
Sim aina ya Google Pixel 6A used but in good condition.
Ram 6 GB
Internal storage 128 GB
Single sim card
Size 6.1 inches
Network 5G
Bei 500,000/=
Protector cover bure
Nipo Tabata Segerea
Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
Ndugu zangu Sote tunafahamu kuwa secta ya kilimo katika nchi hii imeajiri na kubeba kundi kubwa Sana la watanzania, Ni secta ambayo ndio pumzi ya familia na Kaya nyingi, Ni secta inayotegemewa na watanzania wengi Kama shughuli kuu ya kiuchumi, Ni kimbilio la wengi, Ni ngazi ya wengi, Ni njia...
Nina eneo kubwa nataka kulima maharage.
Naomba kujua ni aina gani ya maharage inapendwa sana sokoni na bei yake imechangamka sokoni.
Ukinipa na mbegu inakopatikana itapendeza. Eneo heka 2
Kinana ashauri wakulima waachwe wauze popote wanapopata bei nzuri
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Ndugu Abdulrahman Kinana ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya wakulima pale wanapotaka kuuza mazao yao.
Akizungumza na wana CCM na wananchi waliyojitokeza kumlaki Nyakanazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.